Mambo 15 niliyoyaona leo Simba ikiivua ubingwa Wydad kwa Mkapa

1. Mchezo ulikuwa mzuri sana kipindi cha kwanza lakini cha pili tulishikilia sana bomba
2.Beki Shabalala atafutiwe mbadala, safari nyingi sana zimefanyikia upande wake leo
3.Inonga Baka auzwe, kuna siku ataigharimu sana timu kwa mambo ya kitoto
4.Mzamiru Yassin hawezi kubadilija tena, amefika mwisho, nafasi yake angekaa Feitoto leo mechi ilikuwa inaisha kipindi cha 1
5.Somba Somba Onana kama mliangalia kikosi changu jana usiku nilimweka winga wa kushoto, mm namuamini kuliko mchezaji yeyote Simba
6.Duchu, Israel na Abdallah Hamis hawakutegemea kama leo watacheza, ilikuwa surprise kwao, wasilaumiwe
7.Simba imeshinda kwa sababu mpira umechezwa sana nje otherwis wasingekuga wale wamanga
8.Kibu kupumzishwa yalikuwa makosa makubwa ya kiufundi
9.Benchika kama anataka kudefence ni bora udefend kuanzia dakika ya 80 lkn kudefende dakika ya 60, very dangerous
10.Mwamba wa Lusaka sijui nini kimemkuta, uwezo umepungua saba
11.Saido Ntibazonkiza bado anahitajika sana kikosini, leo angekuwepp lazima angeweka kambani
12.Sadio Kanoute ni mtu muhim sana Simba kwani Mzamiru ni mzinguaji tosha
13.Simba Nguvu moja, ikiendelea hivi kama ilivyokuwa wiki hii hakuna wa kuizuia
14.Ayoub Lakred atamfukuzisha kazi Manula na kuna uwezekano akarudi azam
15.Wachezaji wa Simba walirogwa leo ndio tumeona uchezaji halisi wa Somba Somba Onana.

Kila la heri Medeama kesho.
Huwezi kuwa na akili halafu ukasema Inonga auzwe.

Ni uzwazwa. Kross nying kaondoa yy.
 
Utofauti wa Makolokolo na Wananchi hudhihirika namna hii, Yanga "Wananchi" huwa hatuhadaiki kutathmini klabu yetu kwa matokeo ya mechi 1 tu ilihali tunaamini chemistry ya timu huhitaji muda gani Kocha mpya kuweka filosofi zake kuleta ubora wa timu.

Makolokolo SC fans = Maharagwe ya Mbeya maji mara 1 (kuridhika mapema)...[emoji142]
Miaka 27 yanga inakusanya pointi 2 makundi klabu bingwa.

Halafu unakuja hapa kutupigia kelele. Unajiona bora.

Mechi zote umepigwa ukahaha kutafuta suluhu.

Tangu makundi yamepangwa mko nafasi ya nne na mpaka leo ni nafasi ya nne.

Hakuna yanga mwenye akili!!!!!!!!
 
Utofauti wa Makolokolo na Wananchi hudhihirika namna hii, Yanga "Wananchi" huwa hatuhadaiki kutathmini klabu yetu kwa matokeo ya mechi 1 tu ilihali tunaamini chemistry ya timu huhitaji muda gani Kocha mpya kuweka filosofi zake kuleta ubora wa timu.

Makolokolo SC fans = Maharagwe ya Mbeya maji mara 1 (kuridhika mapema)...[emoji142]
Mnakuwa mmekula nini?
 
1. Mchezo ulikuwa mzuri sana kipindi cha kwanza lakini cha pili tulishikilia sana bomba
2.Beki Shabalala atafutiwe mbadala, safari nyingi sana zimefanyikia upande wake leo
3.Inonga Baka auzwe, kuna siku ataigharimu sana timu kwa mambo ya kitoto
4.Mzamiru Yassin hawezi kubadilija tena, amefika mwisho, nafasi yake angekaa Feitoto leo mechi ilikuwa inaisha kipindi cha 1
5.Somba Somba Onana kama mliangalia kikosi changu jana usiku nilimweka winga wa kushoto, mm namuamini kuliko mchezaji yeyote Simba
6.Duchu, Israel na Abdallah Hamis hawakutegemea kama leo watacheza, ilikuwa surprise kwao, wasilaumiwe
7.Simba imeshinda kwa sababu mpira umechezwa sana nje otherwis wasingekuga wale wamanga
8.Kibu kupumzishwa yalikuwa makosa makubwa ya kiufundi
9.Benchika kama anataka kudefence ni bora udefend kuanzia dakika ya 80 lkn kudefende dakika ya 60, very dangerous
10.Mwamba wa Lusaka sijui nini kimemkuta, uwezo umepungua saba
11.Saido Ntibazonkiza bado anahitajika sana kikosini, leo angekuwepp lazima angeweka kambani
12.Sadio Kanoute ni mtu muhim sana Simba kwani Mzamiru ni mzinguaji tosha
13.Simba Nguvu moja, ikiendelea hivi kama ilivyokuwa wiki hii hakuna wa kuizuia
14.Ayoub Lakred atamfukuzisha kazi Manula na kuna uwezekano akarudi azam
15.Wachezaji wa Simba walirogwa leo ndio tumeona uchezaji halisi wa Somba Somba Onana.

Kila la heri Medeama kesho.
Mbulula kama wewe unamshauri kocha mwenye makombe Africa na anakaa na kuwafahamu wachezaji vizuri, wewe wa Tandahimba unakuja kuchambua upumbavu, shameless

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inonga ataendelea kuwa bora tu,

Kibu ndio mchezaji anaejituma sana na sasahivi ame-upgrade masuala fulani ya kiuchezaji

Chama sio wa kutolewa maana yeye ndiye brain ya mashambulizi karibu yote ya simba.Anapopata mpira anajua afanye nini, aupeleke wapi, kwa nani na kwa wakati gani.

Saido ukitoa kimbia kimbia yake hakuna lingine zaidi ya ubinafsi wa kupiga mashuti yasiyo na macho
 
1. Mchezo ulikuwa mzuri sana kipindi cha kwanza lakini cha pili tulishikilia sana bomba
2.Beki Shabalala atafutiwe mbadala, safari nyingi sana zimefanyikia upande wake leo
3.Inonga Baka auzwe, kuna siku ataigharimu sana timu kwa mambo ya kitoto
4.Mzamiru Yassin hawezi kubadilija tena, amefika mwisho, nafasi yake angekaa Feitoto leo mechi ilikuwa inaisha kipindi cha 1
5.Somba Somba Onana kama mliangalia kikosi changu jana usiku nilimweka winga wa kushoto, mm namuamini kuliko mchezaji yeyote Simba
6.Duchu, Israel na Abdallah Hamis hawakutegemea kama leo watacheza, ilikuwa surprise kwao, wasilaumiwe
7.Simba imeshinda kwa sababu mpira umechezwa sana nje otherwis wasingekuga wale wamanga
8.Kibu kupumzishwa yalikuwa makosa makubwa ya kiufundi
9.Benchika kama anataka kudefence ni bora udefend kuanzia dakika ya 80 lkn kudefende dakika ya 60, very dangerous
10.Mwamba wa Lusaka sijui nini kimemkuta, uwezo umepungua saba
11.Saido Ntibazonkiza bado anahitajika sana kikosini, leo angekuwepp lazima angeweka kambani
12.Sadio Kanoute ni mtu muhim sana Simba kwani Mzamiru ni mzinguaji tosha
13.Simba Nguvu moja, ikiendelea hivi kama ilivyokuwa wiki hii hakuna wa kuizuia
14.Ayoub Lakred atamfukuzisha kazi Manula na kuna uwezekano akarudi azam
15.Wachezaji wa Simba walirogwa leo ndio tumeona uchezaji halisi wa Somba Somba Onana.

Kila la heri Medeama kesho.
11, Saido ntibanzokiza yulee mzee wa nn? Tena lina nuksi na mikosi lile zee, wallah angekuwepo tungefungwa.

Silipendi km nn, lifurushwee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Saidoo ana Ubinafsi, angekuwepo Simba angepoteza maaana yeye hatoi assist anataka afunge yeye tuu
Bora umesema, kwanza lina nuksi na mikosii plus gunduu. Lifurushweee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inonga ataendelea kuwa bora tu,

Kibu ndio mchezaji anaejituma sana na sasahivi ame-upgrade masuala fulani ya kiuchezaji

Chama sio wa kutolewa maana yeye ndiye brain ya mashambulizi karibu yote ya simba.Anapopata mpira anajua afanye nini, aupeleke wapi, kwa nani na kwa wakati gani.

Saido ukitoa kimbia kimbia yake hakuna lingine zaidi ya ubinafsi wa kupiga mashuti yasiyo na macho
Saidoo afurushweee, lina nuksi, mikosi na gundu lile zee, khaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1. Mchezo ulikuwa mzuri sana kipindi cha kwanza lakini cha pili tulishikilia sana bomba
2.Beki Shabalala atafutiwe mbadala, safari nyingi sana zimefanyikia upande wake leo
3.Inonga Baka auzwe, kuna siku ataigharimu sana timu kwa mambo ya kitoto
4.Mzamiru Yassin hawezi kubadilija tena, amefika mwisho, nafasi yake angekaa Feitoto leo mechi ilikuwa inaisha kipindi cha 1
5.Somba Somba Onana kama mliangalia kikosi changu jana usiku nilimweka winga wa kushoto, mm namuamini kuliko mchezaji yeyote Simba
6.Duchu, Israel na Abdallah Hamis hawakutegemea kama leo watacheza, ilikuwa surprise kwao, wasilaumiwe
7.Simba imeshinda kwa sababu mpira umechezwa sana nje otherwis wasingekuga wale wamanga
8.Kibu kupumzishwa yalikuwa makosa makubwa ya kiufundi
9.Benchika kama anataka kudefence ni bora udefend kuanzia dakika ya 80 lkn kudefende dakika ya 60, very dangerous
10.Mwamba wa Lusaka sijui nini kimemkuta, uwezo umepungua saba
11.Saido Ntibazonkiza bado anahitajika sana kikosini, leo angekuwepp lazima angeweka kambani
12.Sadio Kanoute ni mtu muhim sana Simba kwani Mzamiru ni mzinguaji tosha
13.Simba Nguvu moja, ikiendelea hivi kama ilivyokuwa wiki hii hakuna wa kuizuia
14.Ayoub Lakred atamfukuzisha kazi Manula na kuna uwezekano akarudi azam
15.Wachezaji wa Simba walirogwa leo ndio tumeona uchezaji halisi wa Somba Somba Onana.

Kila la heri Medeama kesho.

Kwa ukosoaji wote huu inaonekana wewe ndo umefunga hayo magoli ma 2
 
Chama amechoka? Hivi wajinga kama wewe mnakaa wapi! Kwa ufinyu wa akili yako hata leo hujaona mashambtllizi yameanzishwa kwa utulivu wa chama! Saido wa nini?
 
Back
Top Bottom