Mambo 15 niliyoyaona leo Simba ikiivua ubingwa Wydad kwa Mkapa

Huwezi kuwa na akili halafu ukasema Inonga auzwe.

Ni uzwazwa. Kross nying kaondoa yy.
 
Miaka 27 yanga inakusanya pointi 2 makundi klabu bingwa.

Halafu unakuja hapa kutupigia kelele. Unajiona bora.

Mechi zote umepigwa ukahaha kutafuta suluhu.

Tangu makundi yamepangwa mko nafasi ya nne na mpaka leo ni nafasi ya nne.

Hakuna yanga mwenye akili!!!!!!!!
 
Mnakuwa mmekula nini?
 
Mbulula kama wewe unamshauri kocha mwenye makombe Africa na anakaa na kuwafahamu wachezaji vizuri, wewe wa Tandahimba unakuja kuchambua upumbavu, shameless

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inonga ataendelea kuwa bora tu,

Kibu ndio mchezaji anaejituma sana na sasahivi ame-upgrade masuala fulani ya kiuchezaji

Chama sio wa kutolewa maana yeye ndiye brain ya mashambulizi karibu yote ya simba.Anapopata mpira anajua afanye nini, aupeleke wapi, kwa nani na kwa wakati gani.

Saido ukitoa kimbia kimbia yake hakuna lingine zaidi ya ubinafsi wa kupiga mashuti yasiyo na macho
 
11, Saido ntibanzokiza yulee mzee wa nn? Tena lina nuksi na mikosi lile zee, wallah angekuwepo tungefungwa.

Silipendi km nn, lifurushwee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Saidoo ana Ubinafsi, angekuwepo Simba angepoteza maaana yeye hatoi assist anataka afunge yeye tuu
Bora umesema, kwanza lina nuksi na mikosii plus gunduu. Lifurushweee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Saidoo afurushweee, lina nuksi, mikosi na gundu lile zee, khaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 


Kwa ukosoaji wote huu inaonekana wewe ndo umefunga hayo magoli ma 2
 
Chama amechoka? Hivi wajinga kama wewe mnakaa wapi! Kwa ufinyu wa akili yako hata leo hujaona mashambtllizi yameanzishwa kwa utulivu wa chama! Saido wa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…