Mambo 15 niliyoyaona Simba vs Yanga Ngao ya Hisani jana

Hahaha
 
Attachments

  • Screenshot_20240809_113528_Instagram.jpg
    Screenshot_20240809_113528_Instagram.jpg
    192.7 KB · Views: 3
MM NI MWANANCHI KINDAKINDAKI, JAPOKUWA WW KOLO LAKINI NAPENDAGA UCHAMBUZI WAKO!TATIZO LAKO NI MOJA TU (KWA MAONI YANGU), BADO UNAENDEKEZA MPIRA WA KIZAMANI (WA KUAMINI UCHAWIUCHAWI)!HII SIO SAWA, INAKUONDOA KABISA KWENYE WIGO WA SOKA!MPIRA NI MCHEZO WA WAZI!KUENDELEA KUAMINI IMANI ZA KIJINGAJINGA HAZISAIDII TEAM ZETU AU TAIFA KWA UJUMLA!KAMA UNAAMINI HIZO IMANI MBONA YANGA WASICHUKUE UBINGWA WA AFRIKA???KAMA KWELI WANATUMIA HIZO IMANI MBONA MAKOLO WANAISHIA ROBO FINAL KILA SIKU!???TUACHE IMANI ZA KIPUUZI!
Mkumbushe pia makolo walipigwa na Al ahaly kwa mkapa msimu uliopita na uwanja walikuwa nao wao makolo wiki nzima
 
Nimewaelewa kama naamini ushirikina na mpira ni sayansi, iweje Yanga watumie mabasi matatu tofauti kuweka wachezaji tofauti na mechi nyingine, basi la kwanza wameweka wachezaji 4, basi la 2 wachezaji 8, basi la tatu wachezaji 10, hili ni jambo la kawaida kwenu? Wageni wengi soka la bongo au iweje Yanga waruke ukuta au kupitia mlango mwingine na mlango wa kuingilia unajulika a, c uchawi haupo mbona hawaingilii huko, vp bodi ya ligi wazungumzie ushirikina na kutoa onyo wakat wewe ukisema hayo mambo hayapo?
uliwaona? na unaamini hivyo vitu vipo kwenye mpira? na mbona kuna team inafungwa home and away na ilikabidhiwa uwanja wiki moja kabla kama team mwenyeji
 
1.Timu yetu ina wachezaji wazuri na wenye uwezo wa kutuletea mafanikio msimu huu, jana kwangu naona upangaji wa kikosi haukuwa mzuri, kwa mfano Yanga wameonekana wakomavu kwa sababu wanategemea sana kuchezesha viungo kama Simba ile ya akina Yussuph Macho, Shekhan Rashid.

Yanga kama kawaida yao wanaweka viungo watano Aucho, Max, Pacome, Duke, Aziz Ki, Sisi jana tukaweka Mzamiru, Deborah, Mutale, Balua na Ahoua.Hapa ndipo tulipokwama sisi.Kocha wetu ingawa simlaumu kwa sababu ni mgeni lakini viungo hao wa Yanga dawa yao ilikuwa ni Kagoma, Awesu, Okajepha, Deborah na Ahoua.

Baadae ndio aingie Mutale na Balua.Yanga walijua Mutale ni SGR walimfanyia mambo nje ya uwanja mapema t.Kama Kagoma angekuwa fit hana majeraha na Awesu angekuwepo hao akina Max msingewaona.

2.Clatous Chama ameenda Yanga wakati mbaya sana.Kusema Pacome akae benchi halaf Chama aanze sio kweli.Chama hatoweza kutamba kwa sababu ufalme wa Yanga kwa sasa uko kwa Pacome.Pacome angepimwa na Awesu Awesu na Kagoma, vigingi hivyo vina balaa sana.

3.Sijui kwann Mzamiru anachezeshwa sana gemu za Yanga lkn nimefuatilia kwa muda mrefu tangu kipind kile alipompa pasi Kibajaji gemu ya sare 2 2 mzamiru harekebishiki tena.Augustine Okajepha alipaswa kuanza.

4.Steven Mukwala ni striker mzuri lakini jana hakuwa akipewa mipira mingi, Ahoua alikuwa anacheza sana chini, Mukwala akawa anahangaika sana kutafuta mipira ukichanganya na kuipania gemu.Akianza kuchanganya huyu mtu hatoshikika.

5.Kipa Simba tunaye, Camara anajiamini sana kama Diarra, anaanzisha mipira bila hofu kuliko Lakred, Lakres atafutiwe timu nyingine tuongeze striker wa kumsaidia Mukwala.

6.Yanga waliweka sana nguvu kumdhibitj Mutale, kwa sababu waliamini ndiye anayeweza kuleta madhara upande wa pembeni, hivyo Mutale alikosa back up hivyo akawa anapambana mwenyewe kupita kwenye msitu wa viungo wa Yanga bila mafanikio.

7.Simba inakosa mchezaji aliyekuwa na tabia kama za Chama, pengine ni kwa sababu ndio tunaanza msimu lakini Ahoua bado hajakidhi kiu yetu mashabiki kama alivyokuwa akifanya chama.Ahoua amekuwa akipiga faulo mbovu kabisa, free kick zake hazina madhara yoyote, yuko slow kama Chama, kinachomsaidia Chama ni kutumia miguu yake miwili kwa usahihi bila shida, chama anaweza kusumbua kwa mguu wa kushoto ama kulia na usione tofauti.

8.Mechi ilikuwa ina pressure kubwa sababu Derby ndio zilivyo ila kocha wa Yanga Gamondj na benchi Lao la ufundi wapunguze utoto na mambo ya kijinga, wanalalamika sana.Yaan Gamondi kinachombeba sio uwezo wake, ameshagundua akilalamika ataonekana sawa t, kila wakati hata pale Yanga wanapocheza faulo yeye anakimbilia jwa refa ili kumshinikiza, bodi ya ligi imuangalie Gamondi, utoto wake na benchi la ufundi umebuka mipaka.

9.Yanga wanaonekana bora sana kwa sababu ya migogoro yetu Simba, imetuathiri sana, wakati sisi tunapambana wenyewe kwa wenyewe wao walikuwa wanatengeneza timu yao, hadi walipokaa sawa sisi tunaanza kujitafuta.Sisi tumekuwa underdog kwa Yanga.

10.Simba iongeze striker wa kumsaidia Mukwala.Mukwala ni mshambuliaji kweli kweli, naamini ligi ikianza timu ikapata chemistry ya kutosha Yanga hata waje asbh tuko tayari.

11.Simba walifanyie kazi hili nalotaka kusema.Bado nna wasiwasi na mabaki ya Manara ndani ya timu yetu, mipango na mikakati tunayoweka wakati tukicheza na Yanga nina wasiwasi inavuja na kumfikia, kuna mtu ndani ya timu anakula posho upande wa pili, jana tulijipanga sana lakn tumezidiwa padogo sana na wenzetu kwa sababu ya kuuza mikakati kwa zungu pori, zungu pori hapo ndipo anapokula mshahara mrefu kwa injinia.

Sio usemaji wala nn, hiv Zungu pori ana umuhimu gan had injinia amuone Kamwe hana maana, ni kwa sababu yaliyomo ndani ya timu yetu anapewa yote, hili mm linaniumiza sana moyo wangu ndio maana matokeo ya jana hayaniumizi.

12.Nawashauri viongozi wangu wa Simba Camara anatosha sana.Kipa mwenye sifa zote za kutumikia timu yetu, ni mzuri kushinda hata Lakred.

13.Kevin Kijiri mechi ya 2 anaonyesha impact, Simba day alichezewa faulo Edwin Balua akafunga, jana tena anachezewa faulo na Boca tukanyimwa penati, aaminiwe.

14.Yanga watapata wakati mgumu kwa Azam, Yanga ni Aucho, Pacome, Aziz Ki na Max, ukicheza nao hao vizuri ukapambana nao nje ya uwanja kuhakikisha lile kafara Lao halifanikiwi, Azam haifungwi na Yanga na jumapili hata iweje.Azam wamekamilika kuliko Yanga.

15.Ushauri kwa wachezaji, viongozi, mashabiki na wanachama wenzangu, Simba ina wachezaji wazuri mno, jana pale hatujakuwa na chemistry hali ni ile je tungekuwa na chemistry ingekuwaje, tuzidishe umoja, mshikamano, upendo, udugu.

Tuiunge mkono timu yetu, tusiwabeze viongozi na wachezaji, mambo ndio kwanza yameanza, jana tumefungwa bao 1 kwa tabu tusianze kutukanana, kubishana, watching watambe, hiyo ndio football.Leo Barcelona kila akicheza na Madrid anachezea kichapo, Man Utd ss hv anaonekana timu ndogo t, Chelsea wako wapi.Simba ya jana ile kama tungekuwa na timu nyingine tungemla had bao 6, sema mechi za Simba vs Yanga zina uswahili mwingi sana.

Mmeona wenyewe Yanga pamoja na kujinasibu kuwa wana timu nzuri lkn wachezaji wamepandishwa kwenye mabasi tofauti tofauti, basi moja wamepanda wachezaji 4, basi jingine wamepanda 8, basi lingine wamepanda 7, sasa wewe unasema timu unayo yote ya nini hayo?

Hapo ndipo napojiuliza na kuwa na wasiwasi na zungu pori kuchota mipango yetu na kuhamasishia kule jangwani.
matatizo hayatatuliwi kwa kusema tu hayapo mkuu...mda si mrefu msimuutaanza tutaona uzi wako madini au pumba
 
MCHUKUUE KIBU, MUTALE, DEBORA, NA AWESU AWESU WAWEKE KWENYE BRENDA SAGA KWA DAKIKA MOJA KISHA TIA SHABALALA NA KAPOMBE KIDOGO SAGA TENA KISHA TIA SHABALALA NA KAPOMBE SAGA TENA KISHA TIA MZAMIRU NA MUKWALA KWA MBALI SAGA KIDOGO TENA HALFU WEKA BALUA VIJIKO VIWILI NA FONDO MALONE KIJIKO KIMOJA HALFU KOROGA VIZURI NDIO UNAMPATA PROFESA WA MPIRA PACOME ZOUA ZOUA😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻
Ila wejamaa🤣🤣🤣🤣
 
Kweli mashabiki wa simba furaha yao ni simba day tu. Baada ya hapo huishi na maumivu mpaka msimu unatamatika.
 
Kwa hiyo Sasa hv duka ni Muzamiru
Nyie mbumbumbuu si mtamaliza wachezaji wenu wote kuwasingizia kuuza mechi
 
Hata refaree aliwabeba sana tumenyimea panati mbili bora Arajiga ndiyo angechezesha mechi ya uwanja wa Mkapa na huyu kijana angeenda kuchesesha meçhi ya Zanzibar.
 
Well ongezea na haya

Wachezaji wa simba walichelewa kufanya pressing kwa mtu aliyekuwa na mpira wanamuangalia tu mpaka anatoa pass no pressure no pressing to the ball carrier mpaka anatoa pass.

SCANNING:kitu wanacho wachezaji wengi wa simba hawafanyi shoulder scanning wanaangalia chini tena wachezaji wakubwa Deborah Jana kanyang'anywa mpira kwasababu alikuwa anaangalia chini mtu kaja kwa nyuma kampokonya mpira arsenal wenger anasema aliwaacha wachezaji wakubwa kwasababu walikuwa wanaangalia chini wakiwa na mpira yaani mzamiru yasin yule ndio tatizo lake hilo na kibu denis.

OVERLAPPING FULLBACK: ni mfumo mzuri ila simba bado wachezaji hawajaelewa jinsi unavyofanya kazi zimbwe na Joshua mutale walitakiwa wa interchange position wakati wa combination play cha ajabu kapombe na Edwin balua walikuwa constant no interchange of the position kwenye final zone that was a problem.

CONTROLLER –DESTROYER –CREATOR:kwenye team yoyote lazima wawepo hao watatu kwa mfano yanga wana aucho(destroyer) wana aziz ki (creater) who utilizes open space in opponent zone (controller) pacome simba walikoso creater mchezaji wa kupiga pass za mwisho kwenye final third na katikati palikuwa wazi sana mpaka alipoingia ngoma team ikapata balance maana alikuwa anarudi kusaidia kukaba kama max zengeli kwa yanga.

Ngoja niishie hapo ila team zetu kwa 90% zinakosa football basic wachezaji wengi hawajui kucheza kulingana na nafasi walizopo ndio tatizo linaanzia hapo.

NB:Yanga punguzeni kulalamika.
 
1.Timu yetu ina wachezaji wazuri na wenye uwezo wa kutuletea mafanikio msimu huu, jana kwangu naona upangaji wa kikosi haukuwa mzuri, kwa mfano Yanga wameonekana wakomavu kwa sababu wanategemea sana kuchezesha viungo kama Simba ile ya akina Yussuph Macho, Shekhan Rashid.

Yanga kama kawaida yao wanaweka viungo watano Aucho, Max, Pacome, Duke, Aziz Ki, Sisi jana tukaweka Mzamiru, Deborah, Mutale, Balua na Ahoua.Hapa ndipo tulipokwama sisi.Kocha wetu ingawa simlaumu kwa sababu ni mgeni lakini viungo hao wa Yanga dawa yao ilikuwa ni Kagoma, Awesu, Okajepha, Deborah na Ahoua.

Baadae ndio aingie Mutale na Balua.Yanga walijua Mutale ni SGR walimfanyia mambo nje ya uwanja mapema t.Kama Kagoma angekuwa fit hana majeraha na Awesu angekuwepo hao akina Max msingewaona.

2.Clatous Chama ameenda Yanga wakati mbaya sana.Kusema Pacome akae benchi halaf Chama aanze sio kweli.Chama hatoweza kutamba kwa sababu ufalme wa Yanga kwa sasa uko kwa Pacome.Pacome angepimwa na Awesu Awesu na Kagoma, vigingi hivyo vina balaa sana.

3.Sijui kwann Mzamiru anachezeshwa sana gemu za Yanga lkn nimefuatilia kwa muda mrefu tangu kipind kile alipompa pasi Kibajaji gemu ya sare 2 2 mzamiru harekebishiki tena.Augustine Okajepha alipaswa kuanza.

4.Steven Mukwala ni striker mzuri lakini jana hakuwa akipewa mipira mingi, Ahoua alikuwa anacheza sana chini, Mukwala akawa anahangaika sana kutafuta mipira ukichanganya na kuipania gemu.Akianza kuchanganya huyu mtu hatoshikika.

5.Kipa Simba tunaye, Camara anajiamini sana kama Diarra, anaanzisha mipira bila hofu kuliko Lakred, Lakres atafutiwe timu nyingine tuongeze striker wa kumsaidia Mukwala.

6.Yanga waliweka sana nguvu kumdhibitj Mutale, kwa sababu waliamini ndiye anayeweza kuleta madhara upande wa pembeni, hivyo Mutale alikosa back up hivyo akawa anapambana mwenyewe kupita kwenye msitu wa viungo wa Yanga bila mafanikio.

7.Simba inakosa mchezaji aliyekuwa na tabia kama za Chama, pengine ni kwa sababu ndio tunaanza msimu lakini Ahoua bado hajakidhi kiu yetu mashabiki kama alivyokuwa akifanya chama.Ahoua amekuwa akipiga faulo mbovu kabisa, free kick zake hazina madhara yoyote, yuko slow kama Chama, kinachomsaidia Chama ni kutumia miguu yake miwili kwa usahihi bila shida, chama anaweza kusumbua kwa mguu wa kushoto ama kulia na usione tofauti.

8.Mechi ilikuwa ina pressure kubwa sababu Derby ndio zilivyo ila kocha wa Yanga Gamondj na benchi Lao la ufundi wapunguze utoto na mambo ya kijinga, wanalalamika sana.Yaan Gamondi kinachombeba sio uwezo wake, ameshagundua akilalamika ataonekana sawa t, kila wakati hata pale Yanga wanapocheza faulo yeye anakimbilia jwa refa ili kumshinikiza, bodi ya ligi imuangalie Gamondi, utoto wake na benchi la ufundi umebuka mipaka.

9.Yanga wanaonekana bora sana kwa sababu ya migogoro yetu Simba, imetuathiri sana, wakati sisi tunapambana wenyewe kwa wenyewe wao walikuwa wanatengeneza timu yao, hadi walipokaa sawa sisi tunaanza kujitafuta.Sisi tumekuwa underdog kwa Yanga.

10.Simba iongeze striker wa kumsaidia Mukwala.Mukwala ni mshambuliaji kweli kweli, naamini ligi ikianza timu ikapata chemistry ya kutosha Yanga hata waje asbh tuko tayari.

11.Simba walifanyie kazi hili nalotaka kusema.Bado nna wasiwasi na mabaki ya Manara ndani ya timu yetu, mipango na mikakati tunayoweka wakati tukicheza na Yanga nina wasiwasi inavuja na kumfikia, kuna mtu ndani ya timu anakula posho upande wa pili, jana tulijipanga sana lakn tumezidiwa padogo sana na wenzetu kwa sababu ya kuuza mikakati kwa zungu pori, zungu pori hapo ndipo anapokula mshahara mrefu kwa injinia.

Sio usemaji wala nn, hiv Zungu pori ana umuhimu gan had injinia amuone Kamwe hana maana, ni kwa sababu yaliyomo ndani ya timu yetu anapewa yote, hili mm linaniumiza sana moyo wangu ndio maana matokeo ya jana hayaniumizi.

12.Nawashauri viongozi wangu wa Simba Camara anatosha sana.Kipa mwenye sifa zote za kutumikia timu yetu, ni mzuri kushinda hata Lakred.

13.Kevin Kijiri mechi ya 2 anaonyesha impact, Simba day alichezewa faulo Edwin Balua akafunga, jana tena anachezewa faulo na Boca tukanyimwa penati, aaminiwe.

14.Yanga watapata wakati mgumu kwa Azam, Yanga ni Aucho, Pacome, Aziz Ki na Max, ukicheza nao hao vizuri ukapambana nao nje ya uwanja kuhakikisha lile kafara Lao halifanikiwi, Azam haifungwi na Yanga na jumapili hata iweje.Azam wamekamilika kuliko Yanga.

15.Ushauri kwa wachezaji, viongozi, mashabiki na wanachama wenzangu, Simba ina wachezaji wazuri mno, jana pale hatujakuwa na chemistry hali ni ile je tungekuwa na chemistry ingekuwaje, tuzidishe umoja, mshikamano, upendo, udugu.

Tuiunge mkono timu yetu, tusiwabeze viongozi na wachezaji, mambo ndio kwanza yameanza, jana tumefungwa bao 1 kwa tabu tusianze kutukanana, kubishana, watching watambe, hiyo ndio football.Leo Barcelona kila akicheza na Madrid anachezea kichapo, Man Utd ss hv anaonekana timu ndogo t, Chelsea wako wapi.Simba ya jana ile kama tungekuwa na timu nyingine tungemla had bao 6, sema mechi za Simba vs Yanga zina uswahili mwingi sana.

Mmeona wenyewe Yanga pamoja na kujinasibu kuwa wana timu nzuri lkn wachezaji wamepandishwa kwenye mabasi tofauti tofauti, basi moja wamepanda wachezaji 4, basi jingine wamepanda 8, basi lingine wamepanda 7, sasa wewe unasema timu unayo yote ya nini hayo?

Hapo ndipo napojiuliza na kuwa na wasiwasi na zungu pori kuchota mipango yetu na kuhamasishia kule jangwani.
Kama huyu sii A.Ally sijui,ila hapo jueni ndio mwisho wa uwezo wenu,vijisabau kuna mtu anauza siri hamna,sababu kuwa kuna mambo nje ya uwanja hiyo ni akili mbovu za wana simba.Njoo hoja nyingine,pia kumbuka ma lines men walicho ifanyia yanga ongeza na refa ili kujaribu kuweka mizania.
 
Uko sahihi mkuu,hasa ishu ya zungu pori,mangungu ndio anampa mikakati yote
 
Inasemekana madevu ndio kirus anauza siri kwa zungu pori
 
Hii naiweka hadi kesho.

Naomba mrejesho! Au tukuweke katika kundi la wapuuzi

View: https://youtu.be/DS4-j9wsU4c
 
Back
Top Bottom