Mambo 15 niliyoyaona Simba vs Yanga Ngao ya Hisani jana

Hahaha
 

Attachments

  • Screenshot_20240809_113528_Instagram.jpg
    192.7 KB · Views: 3
Mkumbushe pia makolo walipigwa na Al ahaly kwa mkapa msimu uliopita na uwanja walikuwa nao wao makolo wiki nzima
 
uliwaona? na unaamini hivyo vitu vipo kwenye mpira? na mbona kuna team inafungwa home and away na ilikabidhiwa uwanja wiki moja kabla kama team mwenyeji
 
matatizo hayatatuliwi kwa kusema tu hayapo mkuu...mda si mrefu msimuutaanza tutaona uzi wako madini au pumba
 
Ila wejamaa🤣🤣🤣🤣
 
Kweli mashabiki wa simba furaha yao ni simba day tu. Baada ya hapo huishi na maumivu mpaka msimu unatamatika.
 
Kwa hiyo Sasa hv duka ni Muzamiru
Nyie mbumbumbuu si mtamaliza wachezaji wenu wote kuwasingizia kuuza mechi
 
Hata refaree aliwabeba sana tumenyimea panati mbili bora Arajiga ndiyo angechezesha mechi ya uwanja wa Mkapa na huyu kijana angeenda kuchesesha meçhi ya Zanzibar.
 
Well ongezea na haya

Wachezaji wa simba walichelewa kufanya pressing kwa mtu aliyekuwa na mpira wanamuangalia tu mpaka anatoa pass no pressure no pressing to the ball carrier mpaka anatoa pass.

SCANNING:kitu wanacho wachezaji wengi wa simba hawafanyi shoulder scanning wanaangalia chini tena wachezaji wakubwa Deborah Jana kanyang'anywa mpira kwasababu alikuwa anaangalia chini mtu kaja kwa nyuma kampokonya mpira arsenal wenger anasema aliwaacha wachezaji wakubwa kwasababu walikuwa wanaangalia chini wakiwa na mpira yaani mzamiru yasin yule ndio tatizo lake hilo na kibu denis.

OVERLAPPING FULLBACK: ni mfumo mzuri ila simba bado wachezaji hawajaelewa jinsi unavyofanya kazi zimbwe na Joshua mutale walitakiwa wa interchange position wakati wa combination play cha ajabu kapombe na Edwin balua walikuwa constant no interchange of the position kwenye final zone that was a problem.

CONTROLLER –DESTROYER –CREATOR:kwenye team yoyote lazima wawepo hao watatu kwa mfano yanga wana aucho(destroyer) wana aziz ki (creater) who utilizes open space in opponent zone (controller) pacome simba walikoso creater mchezaji wa kupiga pass za mwisho kwenye final third na katikati palikuwa wazi sana mpaka alipoingia ngoma team ikapata balance maana alikuwa anarudi kusaidia kukaba kama max zengeli kwa yanga.

Ngoja niishie hapo ila team zetu kwa 90% zinakosa football basic wachezaji wengi hawajui kucheza kulingana na nafasi walizopo ndio tatizo linaanzia hapo.

NB:Yanga punguzeni kulalamika.
 
Kama huyu sii A.Ally sijui,ila hapo jueni ndio mwisho wa uwezo wenu,vijisabau kuna mtu anauza siri hamna,sababu kuwa kuna mambo nje ya uwanja hiyo ni akili mbovu za wana simba.Njoo hoja nyingine,pia kumbuka ma lines men walicho ifanyia yanga ongeza na refa ili kujaribu kuweka mizania.
 
Uko sahihi mkuu,hasa ishu ya zungu pori,mangungu ndio anampa mikakati yote
 
Inasemekana madevu ndio kirus anauza siri kwa zungu pori
 
Hii naiweka hadi kesho.

Naomba mrejesho! Au tukuweke katika kundi la wapuuzi

View: https://youtu.be/DS4-j9wsU4c
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…