Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,112
- 34,951
Mungu akikujalia mambo matatu kwenye maisha ujue umeula: 1. JUHUDI, 2. AKILI 3. MAARIFA.
Mnasemaje Wanachama wenzangu?
Mnasemaje Wanachama wenzangu?
Mimi nilidhani ukiwa na mali ndio utakuwa umeula ktk maisha !
Mie vyote hivyo ninavyo ila bado sijaula, why!??