Mambo 3 ukibahatika kuwa nayo katika maisha basi utakuwa wewe umefanikiwa

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,112
Reaction score
34,951
Mungu akikujalia mambo matatu kwenye maisha ujue umeula: 1. JUHUDI, 2. AKILI 3. MAARIFA.

Mnasemaje Wanachama wenzangu?
 
Mimi nilidhani ukiwa na mali ndio utakuwa umeula ktk maisha !
 
Daah mm lilihc nyumba gar, pesa ndefu bank lkn ukishakua ns hvyo hspo juu kila kitu kitakuja automatical
 
Mie vyote hivyo ninavyo ila bado sijaula, why!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…