Mambo 30 yanayokuonesha kuwa sasa umri umekutupa mkono....

Last edited by a moderator:
kama ni hivyo baaas mi 'nimezeeka' zamani sana
YNNAH, hakuan dalili nyingine? ambao bado vijana wanafanyiaga mapenzi [pande zipi?
 
Last edited by a moderator:
Dah! Asante mleta uzi kwa kunifariji maana niliwahi kusikia Jogoo akiwa anachelewa kuwika alaf anawahi kulala ni dalili ya uzee.

Niliishaanza kuandika urithi na kuongeza bidii ya kusali kumbe bado niko kijana-sijazeeka....

Coz jogoo anasumbua lakini kwy hizo 30 haipo...wauuuuw!! Well Done!
 
Last edited by a moderator:
Ila endelea kuongeza bidii ya kusali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…