Mambo 30 yanayokuonesha kuwa sasa umri umekutupa mkono....

Dah kumbe mi bado chalii YNNAH maana hapo sifa zangu ziko nne tu lol
 
Last edited by a moderator:
ooops! nimezeeka...kwa kweli!maana hata nikikwangua vocha na kuijaza kwenye simu, naihifadhi kana kwamba itatumika tena!
 
Hahahahaha..nimeupenda utundu wako,kama ndo ivo najiona shaushika mkongojo..lol.
 
duh.., mie nahisi sizeeki ila ndo naelekea kufa, maana zote hapo ninazo na zingine hujaziandika....
 
........inaendelea
31. Raha unaipata kucheza na wajukuu na sio wanao
32. Ukimwita mwanao Ynnah unasikia 'ah huyu baba nae'
33. Ushamaliza ujenzi,bajeti yako kubwa sasa ni ada za shule
34. Unasahau hata kondomu zinakouzwa maana ukizivaa tu mtambo unalala doro (hii aione Kongosho)
35. Unazaa nje na kuleta mtoto mkeo wala hajali,mshakuwa kama kaka na dada
36. We na ma mkwe mshakuwa paka na panya,una miaka kumi hujamwona
37. Outing yako kubwa na mkeo/mmeo ni kanisani,msikitini,harusini na vilio.
38. Mtu akikwambia ataku 'tweet' unaona kakutukana,facebook unadhania ni uso wa kitabu
39. Mechi za yanga na simba huendi tena kisa unakumbukia enzi za sembuli
40. Kila baya litendwalo na serikali we kazi yako ni kusema 'angekuwepo Nyerere'.
...........itaendelea
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha, hivi wewe una nini? Hapo pekundu hapo, haya tu

Ila hili limenihusu kabisa, 29. Ukiwa unakula chakula unakuwa mkali ikitokea chakula kimewekwa mafuta mengi ama chumvi nyingi

Back
Top Bottom