Mambo 30 yanayokuonesha kuwa sasa umri umekutupa mkono....

Za siku nyingi Kongosho.....nakumisi kichizi ujue,jioni njoo protea basi nikupige wine.

Na ninavyoijua wine inavyoshukaga dauni fasta! Ndani ya saa mbili tu, huyu utakua unajibebea kama kuku wa kitasha! Si wa kupiga ukwenje wala mwano!
Kiuulaaiiyniii ! Kama kupaka slesi siagi !
 
Last edited by a moderator:
Kweli umri umekwenda zamani nilikuwa sipitwi nikisikia Kina Fally Ipupa na Koffie wanapiga ila siku hizi nasikia tu baada ya matukio kuwa kina fulani walikuwepo

Zamani nilikuwa napigiwa simu za mtoko siku hizi ni michango ,kwenye vikao vya chama nk nk

Zamani nilikuwa nawaza kununua Pamba ,mikoba mizuri maurembo lakini sasa hata senti moja napigia kuongezea Kiwanja au Mifuko ya Cement

looh kweli wakatii Ukuta

Thanks YNNAH Makaspaaa ..
 
Last edited by a moderator:
Duh!!! FirstLady ila una dongo zuri
 
Last edited by a moderator:

Ukiwa na muda wa kuandika list hii jua unaondoka kwenye uzee unaingia kwenye uajuza!
 
kuna wenye umri mkubwa lakini hayo yote waliyotajwa hapo juu hawayajui. Je hawa nao bado umri haujawatupa mkono? Je kwa wale wenye umri mdogo na wanayafanya hayo yote hapo juu, nao umri umewatupa mkono wakati bado hawajafika hata 30's
 


Ndio nini hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…