Mambo 5 ukiyafanya utakuwa mwenye afya daima

Mambo 5 ukiyafanya utakuwa mwenye afya daima

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
MAMBO 5 UKIYAFANYA UTAKUWA MWENYE AFYA DAIMA

1.Kufanya mazoezi japo dk 20 kila siku

2.Kula nafaka kamili

>ukosefu wa nafaka husababisha,usingizi usio isha,mfano ukiangalia watu wengi kwenye daladala wanalala,uchovu na uzee mapema.

3.Kula mboga mboga na matunda kila siku,kiafya unatakiwa kula matunda aina 5 na mboga mboga aina 7 kila siku.

4.Kula protein ya kutosha,
protein imegawanyika ktk makundi mawili,PROTIN A,na PROTIN B,
protein A hupatikana kwenye mboga jamii ya kunde,na PROTEIN B,hupatikana kwenye nyama,lkn ulaji wa nyama huleta madhara ya mifupa na saratani kwa wanawake,hakuna nyama mbaya kama nyama ya kuchoma,kumekuwa na ongezeko kubwa la watu kupata kansa ya ziwa kwa sababu ya kupenda mishikaki,nyama ya kuchoma inamadhara.

5.Ulaji kwa kiasi kidogo mafuta na sukari
Ulaji wa sukari kupita kiasi unasababisha magonjwa kama
a)Kisukari
b)Presha
c)Ukoesefu wa nguvu za kiume unaosababishwa na kuganda kwa mafuta kwenye mishipa ya damu,wanaume wengi wamekuwa wakikimbilia kwa waganga kupata tiba ya nguvu za kiume kumbe tatizo liko kwenye damu,hivyo hawataweza kupona lkn usijali solution imepatikana,

Pia epuka kumwambia muuza chips akuchemshie chips kwani kuchemsha maana yake ni kuchukuwa mafuta na kuweka kwenye mwili wako,matokeo yake ni mwanamke kuota kitambia na mwanaume kupata ugonjwa wa nguvu za kiume.
Ukosefu wa nguvu za kiume,nguvu za kike,presha au kisukari unaweza kuzuia wewe mwenyewe.
jiadhari kwani magonjwa hayo ni hatari
 
Duh hivi MziziMkavu presha ya macho inatokana na nini? Mzee wangu tangu nipate akili mpaka leo ni mtu wa mazoezi, hapati magonjwa hovyohovyo, imemnyemelea presha ya mwili imeshindwa sasa presha imempata ya macho, nini sababu ya hii kitu? Kuna mazoezi ya macho nimshauri? Plz let me know
 
Last edited by a moderator:

hahahah Mzee ana Presha ya macho? tangu lini? Je amekwenda hospitali kujitibia hiyo presha ya macho?tafuta Asali safi mbichi ambayo haija chakachuliwa awe anajipaka kwenye makope yake ya macho kama wanavyojipaka wanawake wanja afanye hivyo kila siku usiku wakati wa kwenda kulala atumie kwa muda wa siku 7 kisha njoo unipe feedback Mpe Pole Dingi wako. Dingi wako ana miaka mingapi?
 
3.Kula mboga mboga na matunda kila siku,kiafya unatakiwa kula matunda aina 5 na mboga mboga aina 7 kila siku.

Hapa ndio shida hasa. Na huku mjini matunda yanavundikwa kabla ya kukomaa, hivyo food value inakuwa imeshapotea siku nyingi
 
hahahah Mzee ana Presha ya macho? tangu lini? Je amekwenda hospitali kujitibia hiyo presha ya macho?tafuta Asali safi mbichi ambayo haija chakachuliwa awe anajipaka kwenye makope yake ya macho kama wanavyojipaka wanawake wanja afanye hivyo kila siku usiku wakati wa kwenda kulala atumie kwa muda wa siku 7 kisha njoo unipe feedback Mpe Pole Dingi wako. Dingi wako ana miaka mingapi?

Ok, jicho moja akilalamika linamuuma na haoni kabisa, hilo jicho alishawahi kufanyia Op dodoma mwaka 2001 so limeanza kusumbua tena. Ni jana tu ndipo alienda CCBRT ndio kaambiwa hivyo presha ya macho iko juu sana. Ana miaka 67..ofcoz uzee ndo waingis hivyo. Hiyo ya asali nitamwambia pia
 
Ahsante sana nitafata ushauri wa hili somo
 
Back
Top Bottom