Mambo 5 ya kweli duniani ambayo yatakuacha mdomo wazi

uvugizi

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,278
Reaction score
956
KAMA HAUKUJUA BASI JUA KUWA
1. Kwa mujibu wascientificamerican.com, Mende anaweza kuishi kwa siku TISA bila kuwa na kichwa.

2. Kuna aina ya samaki aitwae STARFISH ambaye samaki huyo hana UBONGO. Kwa mujibu wa Wikipedia

3. Katika misuli ya binadamu, msuli ambao unafanya kazi nyingi na ni imara kuliko yote ni ULIMI kwa mujibu wa livescience.com

4. Tembo,kiboko na kifaru ndio mnyama ambao hawawezi kuruka juu. Hapa kuruka ina maana kuwa na miguu yao yote juu. Kwa mujibu walistverse.com​

5. Kwa mujibu wa scienceline.ucsb.edu wanyama wengi ukiacha binadamu na dolphin hufanya mapenzi ili tuu waweze kuzaliana. Hivyo kwa wanyama wengine kama hakuna dalili kuwa mnyama wa kike hatopata ujauzito , basi wanyama hao hawafanyi mapenzi. Mojawapo ya dalili kuwa mnyama anaweza kubeba ujauzito ni kutoa aina fulani ya harufu, sauti, na hata kubadilika muonekano wake ili kutoa ishara kwa mnyama mwanaume.

Namba tano sikubaliani nayo 100 kwa 100. Nahisi hata binadamu huhisi harufu fulani yenye kuamsha hisia ya kutaka kutenda lakini huwa hajitambui nini kimemsibu.
 
Hiyo ya mende Nadhani itakuwa kweli. Mende mmbishi sana kufa. Waweza kumkanyaga kabisa lkn bado unaona anafurukuta. Ila pamoja na kwamba wanasayansi wmwsema lkn kukaa siku saba bila kichwa ni suala lingine kabisa
 
Toka nijiunge jf ni leo ndio nakutana na uwongo mweusi!
 
KAMA HAUKUJUA BASI JUA KUWA
1. Kwa mujibu wascientificamerican.com, Mende anaweza kuishi kwa siku TISA bila kuwa na kichwa.

2. Kuna aina ya samaki aitwae STARFISH ambaye samaki huyo hana UBONGO. Kwa mujibu wa Wikipedia

3. Katika misuli ya binadamu, msuli ambao unafanya kazi nyingi na ni imara kuliko yote ni ULIMI kwa mujibu wa livescience.com

4. Tembo,kiboko na kifaru ndio mnyama ambao hawawezi kuruka juu. Hapa kuruka ina maana kuwa na miguu yao yote juu. Kwa mujibu walistverse.com

5. Kwa mujibu wa scienceline.ucsb.edu wanyama wengi ukiacha binadamu na dolphin hufanya mapenzi ili tuu waweze kuzaliana. Hivyo kwa wanyama wengine kama hakuna dalili kuwa mnyama wa kike hatopata ujauzito , basi wanyama hao hawafanyi mapenzi. Mojawapo ya dalili kuwa mnyama anaweza kubeba ujauzito ni kutoa aina fulani ya harufu, sauti, na hata kubadilika muonekano wake ili kutoa ishara kwa mnyama mwanaume.

Duh! Naomba mawazo yako hapo Nò 1!
...
Room yangu wamo kibao hao mamende!
Baada ya kuwatoa vichwa niwahifadhi wapi ili nije kuwakuta wazima/wahai?
 
Hiyo ya mende Nadhani itakuwa kweli. Mende mmbishi sana kufa. Waweza kumkanyaga kabisa lkn bado unaona anafurukuta. Ila pamoja na kwamba wanasayansi wmwsema lkn kukaa siku saba bila kichwa ni suala lingine kabisa
 
..hata kuku ukimkata kichwa anaweza survive miezi kadhaa na hata mwaka,hiyo imewahi tokea huko marekani sikumbuki jimbo gani.alikuwa analishwa kupitia shingoni..katika top ten countdown moja(ilirushwa na natgeo wild)ya viumbe vinavyosurvive kuku ilishika nafasi ya nne..
 
Duh!lwalitumia njia gani kuzuia damu kutoka,au upungufu wa damu kwa kuku hauna madhara?
 
hawa wanasayansi sijui wanatafuta nini, kitu kama hiko kinakaribia kuwezekana, nilishafunga safari kwenda moro kuona ng'ombe asiyekula majani, kazi yake kubwa ni kusema more, jamaa anaweka majani na maji kwenye tumbo la ng'ombe kwani limepasuliwa pembeni.
 
Namba tano sikubaliani nayo 100 kwa 100. Nahisi hata binadamu huhisi harufu fulani yenye kuamsha hisia ya kutaka kutenda lakini huwa hajitambui nini kimemsibu.

Naona hujaelewa, binadamu hufanya mapenzi kwa starehe hata kama hawahitaji mtoto kwa wakati huo. Wanyama mpaka jike liwe kwenye heat ndo dume linapanda. Ina maana huelewi au wataka kubisha tu !!!
 
Back
Top Bottom