Mambo 5 ya kweli duniani ambayo yatakuacha mdomo wazi

Mambo 5 ya kweli duniani ambayo yatakuacha mdomo wazi

hawa wanasayansi sijui wanatafuta nini, kitu kama hiko kinakaribia kuwezekana, nilishafunga safari kwenda moro kuona ng'ombe asiyekula majani, kazi yake kubwa ni kusema more, jamaa anaweka majani na maji kwenye tumbo la ng'ombe kwani limepasuliwa pembeni.
???
 
Kuna moja umeisahau... kuhusu wanachama wa chama chakavu...chama kimechoka.kimezeeka kimepauka lakini wao....sasa utawasikia wakianza kunijbu hapa na ndo utaamini na wao ni wa ajabu mno hapa duniani
Funguka mkuu hujasomeka
 
Nimesoma uzi mmoja humu et mende hafi akiwa katika microwave
 
Back
Top Bottom