Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!lwalitumia njia gani kuzuia damu kutoka,au upungufu wa damu kwa kuku hauna madhara?
Naona hujaelewa, binadamu hufanya mapenzi kwa starehe hata kama hawahitaji mtoto kwa wakati huo. Wanyama mpaka jike liwe kwenye heat ndo dume linapanda. Ina maana huelewi au wataka kubisha tu !!!
Namba tano sikubaliani nayo 100 kwa 100. Nahisi hata binadamu huhisi harufu fulani yenye kuamsha hisia ya kutaka kutenda lakini huwa hajitambui nini kimemsibu.
nimemkata kichwa mende muda sio mrefu kashakufa saa nyingi! sitaki uongoHiyo ya mende Nadhani itakuwa kweli. Mende mmbishi sana kufa. Waweza kumkanyaga kabisa lkn bado unaona anafurukuta. Ila pamoja na kwamba wanasayansi wmwsema lkn kukaa siku saba bila kichwa ni suala lingine kabisa
Haujaelewa mkuu hapo.... point ni kwamba wanyama hao wengine hawafanyi sex kama pleasure.Namba tano sikubaliani nayo 100 kwa 100. Nahisi hata binadamu huhisi harufu fulani yenye kuamsha hisia ya kutaka kutenda lakini huwa hajitambui nini kimemsibu.
Duuh! Si mchezo!hawa wanasayansi sijui wanatafuta nini, kitu kama hiko kinakaribia kuwezekana, nilishafunga safari kwenda moro kuona ng'ombe asiyekula majani, kazi yake kubwa ni kusema more, jamaa anaweka majani na maji kwenye tumbo la ng'ombe kwani limepasuliwa pembeni.
Ha ha ha ha !Unanivunja mbavu!nimemkata kichwa mende muda sio mrefu kashakufa saa nyingi! sitaki uongo
Hahaha...mkuu eti hajitambui? Kasema nani?Namba tano sikubaliani nayo 100 kwa 100. Nahisi hata binadamu huhisi harufu fulani yenye kuamsha hisia ya kutaka kutenda lakini huwa hajitambui nini kimemsibu.
Kwa taarifa yako hata panya hufanya mapenzi kama starehe na sio kuzaliana tu..KAMA HAUKUJUA BASI JUA KUWA
1. Kwa mujibu wascientificamerican.com, Mende anaweza kuishi kwa siku TISA bila kuwa na kichwa.
2. Kuna aina ya samaki aitwae STARFISH ambaye samaki huyo hana UBONGO. Kwa mujibu wa Wikipedia
3. Katika misuli ya binadamu, msuli ambao unafanya kazi nyingi na ni imara kuliko yote ni ULIMI kwa mujibu wa livescience.com
4. Tembo,kiboko na kifaru ndio mnyama ambao hawawezi kuruka juu. Hapa kuruka ina maana kuwa na miguu yao yote juu. Kwa mujibu walistverse.com&[HASHTAG]#8203[/HASHTAG];
5. Kwa mujibu wa scienceline.ucsb.edu wanyama wengi ukiacha binadamu na dolphin hufanya mapenzi ili tuu waweze kuzaliana. Hivyo kwa wanyama wengine kama hakuna dalili kuwa mnyama wa kike hatopata ujauzito , basi wanyama hao hawafanyi mapenzi. Mojawapo ya dalili kuwa mnyama anaweza kubeba ujauzito ni kutoa aina fulani ya harufu, sauti, na hata kubadilika muonekano wake ili kutoa ishara kwa mnyama mwanaume.
Hahahaaaaaa......keli kuna watu hawatakagi ujinga kabisanimemkata kichwa mende muda sio mrefu kashakufa saa nyingi! sitaki uongo