Mambo 5 ya kweli duniani ambayo yatakuacha mdomo wazi

Namba tanon ni kweli 100% wala hakuna sababu ya mtu kuwa nashaka. chukulia mfano MBWA JIKE akitaka kuzaa basi madume toka pande zote utakuta yamekusanyika kwake huku yakitokea sehemu mbalimbali.
 
Hakuna kipya hapo. Yote nlikuwa nayajua

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Naona hujaelewa, binadamu hufanya mapenzi kwa starehe hata kama hawahitaji mtoto kwa wakati huo. Wanyama mpaka jike liwe kwenye heat ndo dume linapanda. Ina maana huelewi au wataka kubisha tu !!!

ingekuwa vinginevyo, dada-poa wangekufa njaa.
 
Na kwa chimpanzee kutumia sex kutuliza migogolo inayotokea katika familia
 
Namba tano sikubaliani nayo 100 kwa 100. Nahisi hata binadamu huhisi harufu fulani yenye kuamsha hisia ya kutaka kutenda lakini huwa hajitambui nini kimemsibu.

alimaanisha hivi...
binadam ndo mnyama anaefanya mapenzi kama sehem ya starehe, wanyma wengine ni kwa ajili ya kuzaliana tuu
 
Hiyo ya mende Nadhani itakuwa kweli. Mende mmbishi sana kufa. Waweza kumkanyaga kabisa lkn bado unaona anafurukuta. Ila pamoja na kwamba wanasayansi wmwsema lkn kukaa siku saba bila kichwa ni suala lingine kabisa
nimemkata kichwa mende muda sio mrefu kashakufa saa nyingi! sitaki uongo
 
Kuna moja umeisahau... kuhusu wanachama wa chama chakavu...chama kimechoka.kimezeeka kimepauka lakini wao....sasa utawasikia wakianza kunijbu hapa na ndo utaamini na wao ni wa ajabu mno hapa duniani
 
Namba tano sikubaliani nayo 100 kwa 100. Nahisi hata binadamu huhisi harufu fulani yenye kuamsha hisia ya kutaka kutenda lakini huwa hajitambui nini kimemsibu.
Haujaelewa mkuu hapo.... point ni kwamba wanyama hao wengine hawafanyi sex kama pleasure.
 
Basi.wachina washaleta mi mende yao ya kichina bongo

Hili membe hapa mbona.nimefyeka kichwa limekufa
 
Duuh! Si mchezo!
 
Namba tano sikubaliani nayo 100 kwa 100. Nahisi hata binadamu huhisi harufu fulani yenye kuamsha hisia ya kutaka kutenda lakini huwa hajitambui nini kimemsibu.
Hahaha...mkuu eti hajitambui? Kasema nani?
 
Kwa taarifa yako hata panya hufanya mapenzi kama starehe na sio kuzaliana tu..
source:je wataka kujua...Jahazi-Clouds Fm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…