Mambo 6 ambayo mwanaume hapaswi kuvumilia kamwe kutoka kwa mwanamke

Kuna wanawake wana mawazo mazuri sana ya kujenga familia, kuna baadhi ya mambo ukiwasikiliza wanawake unafika mbali,maswala ya kujenga makazi au kuongeza kipato cha familia,wanaume wengi wamejenga kwa msukumo wa wanawake ,tena saa nyingine wanawake wanafosi kuhamia nyumba husika hata kabla ya kuisha,ili kupush mambo yaende sawa

Kwahiyo tusidharau michango ya wanawake katika kusukuma gurudumu la maendeleo, kuwa mwanaume mwenye msimamo haimaanishi hauambiliki au haupokei mawazo ya mkeo,kikubwa je ni mawazo gani ambayo unayapokea

Kuwa mume bora haimaanishi uwe mkali mkali bilasababu,unakuwa mkali kama kuna mipaka yako imevunjwa kwenye familia yako,Lakini kama heshima ipo,mambo yapo kwenye mstari basi kuwa mume bora
 
Asante mtibeli naomba pia unisetie principles ili nimuongoze huyu kiumbe ziweke kwa DO's na Donts


Hakuna sheria za moja kwa moja mkuu.

Lengo la sheria ni kukufanya uishi maisha ya furaha na amani huku heshima yako ikiwa imelindwa.
Kila mwanadamu anatafsiri yake kuhusu furaha, amani na heshima. Kutokana na mtazamo wake.

Lakini universe law ya kuongoza watu ni kujidhibiti.
Ukiweza kujidhibiti utaweza kuwadhibiti waliokaribu na wewe.

Pili, Kujipenda na kujitanguliza.
Unapofanya hivi unajionyesha wewe ni wathamani. Lakini ukitanguliza wengine unawafanya wao wawe na thamani kuliko wewe.

Tatu, kujiamini.
Kujiamini kunafanya waliokaribu yako wakuamini. Kujiamini nimatokeo ya kujitambua, kujitegemea na kuwa na uwezo wa kutawala mazingira yako.
 
Sijawahi kuoa mkuu
 

Mwanaume kuongoza anavyotaka sio kudharau wanawake. Ni wajibu wake kuongoza. Kuendesha maisha na familia yake atakavyo bila kutegemea ushauri wa yeyote.
Hii ni kumaanisha mke asijione anaulazima, kwamba ni lazima nimshauri mume wangu. Hapana. Sio lazima.

Akitaka kushauri ataomba, mume akitaka ushauri kutoka kwa mkewe atamwambia anaomba ushauri.
 
Sahihi kabisa, mleta mada America kwenye panapotakiwa. Huzo ni hoja ambazo kama mwanaume, hakikisha unazisimamia, chini ya hapo ndoa itakuwa msiba.

Kweli kabisa.
Maana siku hizi naona vijana wametoka kwenye Line alafu mfumo wa mahusiano unawakataa
 
Uko sahihi...
 
Sahihi kabisa, mleta mada America kwenye panapotakiwa. Huzo ni hoja ambazo kama mwanaume, hakikisha unazisimamia, chini ya hapo ndoa itakuwa msiba.
Why america
 
Nielewe vizur hapa, sikumaanisha kuwa mwanaume anapaswa kuomba ushauri kwa kila jambo analofanya,ila ikitokea umepewa ushauri na unaona unakufaa uchukue acha ile ego ya kiume kwamba mwanamke haniambii kitu mimi,huo sio uanaume, mwanaume ni hekima na busara,na kuyapima mambo

Kwahiyo tuwe tayar kuwa open minded kusikiliza na kupata ushauri kwa wenza wetu,na bado tutabakia wanaume tu
 

Watibeli ndio hiyo open minded yenyewe Mkuu.

Post yangu kule juu inaeleza kila kitu. Hapa unachojaribu kufanya ni kuona kama post imemdharau mwanamke na kupoka nafasi yake jambo ambalo sio kweli. Post inajieleza. Na unachoeleza kipo kwenye hizo pointi 6
 
Duh, kuna mwanamke kamwambia mumewe kwamba yeye hawezi kuachana na mabwana wake wa zamani. Kama hakubaliani na hilo aamue cha kufanya
Kama watoto wa daslamu ,nanuku "nayaheshimu Madanga ya mke wangu'
Ashakum siyo matusi , maneno katika wimbo wa meja kunta

We jamani mke wangu anadanga lake
Mwenzenu ananikosha
We kila siku ikifika morning
Lazima atume pesa
Mama watoto anadanga
Na mke mwenzenu anikosha wewe, onaa
We kila siku ikifika morning
Lazima atume pesa, onaa
Lakini danga wa juzi amenikera
Amekuja hajaacha mizigo wala hela
Alafu sidangi dangi na masela
Danga na mapedeshe tupate hela
We ukipata bwana wa kizungu
Nenda naye kwa Mpalange


Unafikiri kunani hapo?
 

Mwanaume ukishakuwa na kilema cha akili lazima dunia ikuaibishe
 
Mkuu siyo kwamba nikibadilika atajiona ameniweza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…