Mambo 6 ambayo mwanaume hapaswi kuvumilia kamwe kutoka kwa mwanamke

Hatari sana
Kilema cha mwili kinaweza kikakupa huruma ya jamii, lakini kilema cha akili (kukosa hekima, kutawaliwa na tamaa, na kuwa tegemezi) kinakuvua utu wako wote. Dunia haikuaibishi kwa sababu inakuchukia; inakuaibisha kwa sababu umeweka wazi udhaifu wako na kumpa kila mtu funguo za kukuendesha.

Kama mwanaume, akili yako ndiyo ngao na upanga wako. Ukiiacha ioze kwa kupenda mteremko, kutafuta sifa za kijinga, au kutawaliwa na hisia, hesabu siku tuβ€”mtaani utafanywa kituko.
 


Umeongea kitibeli sana hapa
 
Duh, kuna mwanamke kamwambia mumewe kwamba yeye hawezi kuachana na mabwana wake wa zamani. Kama hakubaliani na hilo aamue cha kufanya
Mimi juzi niliambiwa na kidem changu cha kinyakyusa kuwa hakiwezi kuacha kuwasiliana na marafiki zake wa kiume wala kufuta namba zao hahhaah japo nilikikuta na bikra.
 
Ukweli ni kwamba mwanaume anaeweza kuishi na mwanamke mwenye sifa hizo ndio mwanaume haloso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…