Mambo 6 ambayo mwanaume hapaswi kuvumilia kamwe kutoka kwa mwanamke

Point ya 5 Ni Pointless.
Ila kama unataka kusaidiwa muache shemeji awe mbuge mkuu
 
Sawa Taikon Master πŸ˜…
Nimependa hapo kwenye kunyali
 
Aubudhilah! Sasa utamchokoza mtu ameshazeeka zake?
Kama hujajua waliozeeka ndo wanafaa kuchokozwa Sasa πŸ˜….
Ili kuwaongezea umri mrefu zaidi Duniani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Unatolewa sehemu Moja na kupelekwa sehemu nyingine.

Utasahau umri wako.
 
Kama hujajua waliozeeka ndo wanafaa kuchokozwa Sasa πŸ˜….
Ili kuwaongezea umri mrefu zaidi Duniani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Unatolewa sehemu Moja na kupelekwa sehemu nyingine.

Utasahau umri wako.

OMG!
Unataka uniweka kwenye mfumo wako sasa.
Unaambiwa dawa ya mamba umtoe majini. Ardhini hana lolote.
Au akiwa majini mtoe Meno. Awe mamba kibogoyo. Hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…