ahahah sina mbavuMi nilivoona inahusu namba namba, nikaachana nayo. Sijawahi kumsifu Mwl wangu wa Maths.
aiseee ..kwahiyo Buddha "" hawakosei kabisa ..dhidi ya imani yao ""..ndo ujue ukifa bongo utazaliwa china au usa upya kabisa kwa sura nyingine na jina lingine kama hitler
kabisa mkuuInteresting