Mambo 6 Duniani yaliyotokea kwa namna ya kuacha Mdomo wazi

Mambo 6 Duniani yaliyotokea kwa namna ya kuacha Mdomo wazi

Yaan Mimi ninavyofanana na Bill Gates sikutegemea kulalia kitanda cha kamba hadi Leo
 
Mh! What a coincidence! Thanks for sharing Mkuu.
 
matukio yote hayo ni ya kutengeneza na mengine ni ya kuforce yaandane na tukio jingine-hamna tukio hapo limetokea naturally
 
ndo ujue ukifa bongo utazaliwa china au usa upya kabisa kwa sura nyingine na jina lingine kama hitler
aiseee ..kwahiyo Buddha "" hawakosei kabisa ..dhidi ya imani yao ""..
 
Back
Top Bottom