Mambo 6 Duniani yaliyotokea kwa namna ya kuacha Mdomo wazi

It seems maisha yetu ni game Kuna mtu sijui nani amekaa pahala ana yachezesha pasipo sisi kukujua kama tuna chezeshwa

Ni kama vile ambavyo sisi Huwa tuna cheza playstation sio Bure hii sio coincidence
 
Hizo Kanuni unazijua unitajie !? Maana nikifa sitaki kurudi tena ktk huu ulimwengu uliojaa mateso
 
Kennedy alipigwa risasi ya shingo, siyo kichwa. Soma vizuri upelelezi wa kufo chake.
Kuna risasi Alipigwa kichwani kichwa kikafunuka ubongo ukamwagika video zipo YouTube. Mpaka mkewe alikuwa ana hangaika kuokota fuvu la kichwa [emoji22][emoji22][emoji22]
 
Huyu makamo wa Raisi Ina maana alikuwa na power kubwa inayo zuia mpaka agencies za usalama wa taifa kufanya uchunguzi wa kifo Cha Raisi !?
 
Shikamoo nature [emoji16][emoji16][emoji119][emoji119]
 
Daaaaah Mkuu nimeogopa sana pale Kennedy alipopigwa risasi ya kichwa.
Kwa maana hiyo alifumuliwa kichwa chote?
Mungu wangu sikuwa nikijua hili [emoji87]
Inatisha na kuhuzunisha clip zipo YouTube [emoji22][emoji22][emoji22] mkewe anaruka kwenda kufuata ubongo uliopo ktk fuvu lililo fumuliwa Kwa risasi [emoji22][emoji22]
 
Kuna kitu kingine cha ajabu mnara qa babeli ulipoangushwa sasa mabaki yake yalikuwa yamejichora kama shape ya pembetatu guwa watu wanaenda kutalii sasa kuna mtaalam mmoja wa majengo sijui wa wap nimesahau kajenga jengo sawasawa na mabaki ya mnara wa babeli.wenyewe wanasema coincidense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…