LOSEJMASAI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 332
- 856
- Thread starter
-
- #41
Nani alikuambia wafu wanakufa?.
Fuatilia na wale akina PLO Lumumba Jnr na Patrice Lumumba, akina Plato, Martin Luther King Jnr, Marcus Ganvery, Tesla, na Wanafalisafa wengine uone kama historia zao hazilandani!.
Kimsingi huwa binadamu hatufi.Reincarnation nini?
Tunafanyaje mkuu?Kimsingi huwa binadamu hatufi.
Umeona Mkuu,,, ahahahha ni hatari sanaEnzo Ferrari wa maranello dahhh.mkuu ukitaja Ferrari mawazo yanakuja haraka ni speed,ila wamefanana aisee na kijana wa Gelsenkirchen Mesut Özil mjerumani mwenye asili ya uturuki(mzaliwa wa ujerumani)
Enzo Ferrari wa maranello dahhh.mkuu ukitaja Ferrari mawazo yanakuja haraka ni speed,ila wamefanana aisee na kijana wa Gelsenkirchen Mesut Özil mjerumani mwenye asili ya uturuki(mzaliwa wa ujerumani)