Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Namba 9 mmmhh huyo abiri kama vile alihusika kwa ajili nawaza kwa sauti tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazungu wana maisha ya kuweka rekodi,tofauti na sisi,inawezekana hapo ulipo hata hujui muda na saa uliozaliwa,inaweza kuja kugongana exactly na muda atakaozaliwa labda mwanao au mjukuu wako,na matukio mengineyoMambo nyingine mizungu inaandaa history
Inaonekana mfatilia mpira sanaHiyo ya kwanza kuhusu kufanana kwa Enzo Ferrari na Ozil nilikuwa naijua lakini nyingine zote ni mpya na zimenisisimua sana.
Asante mkuu mtoa mada,kazi nzuri.
Una akili sana mkuu,hata hivyo kwa ID yako sishangai...sisi Masai tuko vizuri upstairs bwana [emoji4]Inaonekana mfatilia mpira sana
Una akili sana mkuu,hata hivyo kwa ID yako sishangai...sisi Masai tuko vizuri upstairs bwana [emoji4]
Uko sahihi,mimi ni shabiki wa kutupwa wa Arsenal na Real Madrid,hivyo ningeachaje kujua yanayomhusu Ozil?
Halafu ni coincidence kubwa nyingine nampenda Ozil na kazaliwa tarehe moja na kiumbe mmoja wa muhimu sana maishani mwangu.
Huwa nashangaa sana.
HahahahahaaaaaItabidi nifanye update ya hiyo coincidences, ahahahhah
Hapa si bure, Ozil atwambie ukweli.
Enzo Ferrari wa maranello dahhh.mkuu ukitaja Ferrari mawazo yanakuja haraka ni speed,ila wamefanana aisee na kijana wa Gelsenkirchen Mesut Özil mjerumani mwenye asili ya uturuki(mzaliwa wa ujerumani)![]()
Siwausudu saaana hawa wazunguzWazungu wana maisha ya kuweka rekodi,tofauti na sisi,inawezekana hapo ulipo hata hujui muda na saa uliozaliwa,inaweza kuja kugongana exactly na muda atakaozaliwa labda mwanao au mjukuu wako,na matukio mengineyo