Mambo 6 Duniani yaliyotokea kwa namna ya kuacha Mdomo wazi

Mambo 6 Duniani yaliyotokea kwa namna ya kuacha Mdomo wazi

Nani alikuambia wafu wanakufa?.

Fuatilia na wale akina PLO Lumumba Jnr na Patrice Lumumba, akina Plato, Martin Luther King Jnr, Marcus Ganvery, Tesla, na Wanafalisafa wengine uone kama historia zao hazilandani!.
wafu wanakufa?
 
Duuuuh kweli dunia ina mengi yakusimulia. Itabidi nigoogle zaidi.
 
kuna ile baada ya kumtafuta binti yao aliyepotea kwa muda mrefu ilibidi wazazi wale wakariport kwenye gazeti,
wakati wanapiga picha ya kuweka gazetini pembezoni ya barabara pale karibu na ofice za gazeti kumbe wakati huo huo yule msichana alikuwa akipita hivyo akajikuta naye yupo kwenye ile picha ila wazazi hawakugundua kuwa kwenye background ni binti yao kwakuwa ilikuwa ishapita miaka kibao yule binti ndiye aliye kujakutambua baada ya kuona picha gazetini
 
Inavutia kusoma sijui kama kuna vitu havijapikwa humu, si wajua tena ili kunogesha.
 
Back
Top Bottom