FPN
Member
- May 10, 2024
- 52
- 92
YAFUATAYO NI MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA MALEZI YA MTOTO WAKO KULINGANA NA DUNIA INAVYOKWENDA .
1. Mfundishe mtoto kumjua na kumtanguliza Mungu katika kila Jambo analolifanya( Everything to put GOD first)
Haijalishi kwa Imani gani atayokua nayo lakini Jambo muhimu kumtanguliza Mungu kwa chochote atachokifanya kwa kujua(aware) au pasipo kujua(unwitting). Kwani kuwa na hofu ya Mungu (fear of God) ni msingi wa kila Jambo.
2. Mfundishe mtoto kuwa mzalendo(patriotism)
Mfundishe mtoto hali ya kupenda taifa lake na kuweka taifa lake mbele kwanza kuliko jambo lingine hii itamsaidia kua na uadilifu(integrity),kumuepusha na Nia ovu(malice aforethought) na kumpunguzia mkakati kuogofya au kunyong'onyeshwa(stategy of overwing)
3. Mtengenezee mazingira mtoto ya kujifunza lugha ngumu na mahususi(To learn a specific difficult languages)
Tukiachana na kiswahili na kiingereza jitahidi kijana wako apate elimu ya lugha zingine Kama kifaransa,kichina,kikorea,kiarabu ,kihindi na kiindonesia(hizo lugha nne za mwanzo ni muhimu zaidi) hii ni Kutokana na fursa mbalimbali za kimataifa na pia muingiliano wa kimataifa kati ya nchi yetu ya Tanzania na nchi mbalimbali (international recognition). Kwa kijana atayekuwa anajua lugha hizi itamfanya kupewa kipaumbele katika fursa mbalimbali.
4. Mfundishe mtoto kuongeza uelewa kuhusu tehama (increase awareness of information&communication system-ICT).
Hili ndo Jambo la msingi katika elimu dunia kwa mtoto kulingana na mwenendo wa ulimwengu ulivyo Sasa. Dunia nzima ipo kidigitali na Tehama hivyo basi mtaalamu(expert) yoyote kwenye masuala ya talakilishi(computer) inamuweka kwenye nafasi nzuri zaidi ya kuajiriwa(employment opportunities).
5. Mfundishe mtoto namna ya kupunguza madeni au rekodi ya kukopa (To reduce cross credits and loans)
Nafahamu ni ngumu Sana kwa maisha ya Sasa kukaa bila kukopa na sifa ya mwanaume ni madeni😊.
Lakini rekodi ya mikopo inaeleza mengi kuhusu haiba ya mtu.Kwa mfano mtu mwenye mkopo Finca,NMB,CRDB+ vikundi, mtu wa namna hii ni ngumu kuaminika kwani ni rahisi kununulika na maadui na kumfanya mtu kuwa kibaraka(puppet)
6. Mfanye mtoto kujua mambo mbali mbali ya kijamii kwa nchi mbalimbali(state of exposure).
Mtoto ni vyema kujua mambo mbali mbali ya nchi za Africa,na ulaya kwa ujumla na shughuli zao.Lakini ajifunze tamaduni zile ambazo ni muhimu peke yake yaani zenye maadili mazuri,ikiwezekana aweze kutembelea nchi hizo😇.Hii itamjengea uwezo wa kujua mambo mengi.
7. Mwisho, mfundishe mtoto kuwa Bora zaidi katika kila Jambo atalokua analifanya(To be the best in everything he/she will do).
Mfundishe awe Bora kwa chochote atachofanya Kama ni banker,mwalimu,askari,mjasiriamali,muuguzi,daktari,injinia na fani zinginezo basi afanye kwa uwezo wake wote.
Imeandaliwa na
Faustine Paschal Nyambita(BABA ETHAN)
(Mwandishi huru wa kujitegemea)
Contacts: +255786948865/+255677800787
Mailbox: faustinenyambita00@gmail.com.