Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
- Thread starter
- #21
Hatujakubaliana juu ya muundo wa serikali. Katiba hutungwa kuzingatia muundo wa serikali ambao hatujakubaliana. Hivyo, tupilia mbali katiba ya chenge.
WEWE USIDANDIE GARI KWA MBELE, KASOME SURA YA 7, IBARA YA 73 NA 74 pamoja na vifungu vyake vyote, naamini majibu ya maswali yako utakuwa umejipatia bila kipingamizi. Mimi ninabishana kwa evidence, kama unazo na wewe zitoe zako kama nilivyokupa mimi na ziwe zenye kweli kama zangu.