Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
- Thread starter
-
- #21
Hatujakubaliana juu ya muundo wa serikali. Katiba hutungwa kuzingatia muundo wa serikali ambao hatujakubaliana. Hivyo, tupilia mbali katiba ya chenge.

ninaheshimu haki yako ya kuandika ulichokiandika hapa lakini sikubaliani na wewe 100% kwa sababu unapojiruhusu kuwa psycho; single track minded and you can not think out of the box; hatukutegemei kuandika tofauti na hiki ulichokiandika hapa.
Katiba ya sitta/chenge hapana; inanuka ubabe; uchakachuaji na rushwa hata kabla ya kuingia kuichambua kwa undani sana. Period
hatujakubaliana juu ya muundo wa serikali. Katiba hutungwa kuzingatia muundo wa serikali ambao hatujakubaliana. Hivyo, tupilia mbali katiba ya chenge.
Hatujakubaliana juu ya muundo wa serikali. Katiba hutungwa kuzingatia muundo wa serikali ambao hatujakubaliana. Hivyo, tupilia mbali katiba ya chenge.
mnahangaika kweli kuuza katiba ya chenge, wakati rohoni mwenu mnajua kabisa kuwa ni mbovu
huko ndo kuishiwa hoja kwenyewe tunakokusema, huna hoja pumzika au lala ukue.
badala ya kujibu kwa hoja unafunga mjadala unakimbia?! Jina kuuuubwa la kutisha lakini vumbi tupu; au "b-2 stealth bomber" haina bombs?!?!; meaning a brain without gray matter?!
ha ha ha ha ha katiba ya chenge imetulia kwa wapiga dili. Nchi imeshakwisha hii na hiyo katiba inayopendekezwa ni ya kugawana mbao. Mamlaka yote ya wananchi imenyofolewa na fisi wala watu bila huruma. Maadili hamna, uwajibishaji hamna, madaraka ya rais mfalme yameongezwa, tume ya uchaguzi ni ya chama kimoja, maslahi mapana ya wakulima hayajazingatiwa, wopora ardhi ndio wamepewa kipaumbele, hamsini kwa hamsini si ya mwanamke wa kitanzania kule kijiji bali ni ya wake za mafisadi, binti zao, michepulo yao, endelea kutaja uchfu wa katiba inayopendekezwa na joka makengeza chenge na binamu yake sita.hivi wewe mwakaboko mbona umekuwa mbogo? Kitu gani hujakielewa katika katiba inayopendekezwa ili ujibiwe? Naona unajibu kwa hasira hasira tu, katiba imaetulia naamini majibu unayo ila unaona aibu kukubali ukweli wa haya mambo, kuwa muwazi tukuelewe bhana.
Hatujakubaliana juu ya muundo wa serikali. Katiba hutungwa kuzingatia muundo wa serikali ambao hatujakubaliana. Hivyo, tupilia mbali katiba ya chenge.
MKUU ,HIZI NI id MAALUM KWA KAZI MAALUM..WATETEZI WA KATIBA YA CHENGE WOTE WAMEJIUNGA MWEZI MARCH MWAKA HUU..(SO FAR KATIKA UZI HUU..WHAT A COINCIDENCE)
mkuu ,hizi ni id maalum kwa kazi maalum..watetezi wa katiba ya chenge wote wamejiunga mwezi march mwaka huu..(so far katika uzi huu..what a coincidence)
usisahau kunichukia -join date : 15th march 2015
claudiaeliakimu-join date : 13th march 2015
ufo_alien- join date : 10th march 2015
b-2 stealth bomber- join date : 15th march 2015
usiempenda kaja- join date : 14th march 2015
mwasi mwakenda- join date : 9th march 2015
mwendelezo wa wachumia tumbo....
Mbovu umeisoma?? au unabwatuka tuuu!! khaaakhaaaa umeishiwa hoja wewe, jipange tenaaa!! hii inapita bhanaaa.
ha ha ha ha ha katiba ya chenge imetulia kwa wapiga dili. Nchi imeshakwisha hii na hiyo katiba inayopendekezwa ni ya kugawana mbao. Mamlaka yote ya wananchi imenyofolewa na fisi wala watu bila huruma. Maadili hamna, uwajibishaji hamna, madaraka ya rais mfalme yameongezwa, tume ya uchaguzi ni ya chama kimoja, maslahi mapana ya wakulima hayajazingatiwa, wopora ardhi ndio wamepewa kipaumbele, hamsini kwa hamsini si ya mwanamke wa kitanzania kule kijiji bali ni ya wake za mafisadi, binti zao, michepulo yao, endelea kutaja uchfu wa katiba inayopendekezwa na joka makengeza chenge na binamu yake sita.

itapitia mkndn mwako !!

khaaaa ukiamua kuota huzuiwi kuota hata mchana, huku unatembea unaweza kuota. Umeishiwa hoja wewe pumzika.