Mambo 7 yanayodhihirisha ubora wa katiba inayopendekezwa.

Mambo 7 yanayodhihirisha ubora wa katiba inayopendekezwa.

Only the fool will comment like that. Are you a fool?

Najua maneno yangu yanakupagawisha mpaka ucngzi unakosa, shida ya nini? isome uielewe, matuc hayakusaidii kitu humu ndani zaidi ya watu kukuona mtu usie na hoja zaidi ya kujawa na matuc tu na ndo tunajua tabia yako jinsi ulivyo. pole sana.
 
Weka hoja sio kubashiri mambo yasiyo!
katiba itapita hata usipopiga kampeni itapita, Endelea kula mpunga wako, kwani mafisadi hawajakupa pesa za vifurushi, sasa umejiunga jana kwa lipi, Wewe kula hela yao tembea zako
 
Najua maneno yangu yanakupagawisha mpaka ucngzi unakosa, shida ya nini? isome uielewe, matuc hayakusaidii kitu humu ndani zaidi ya watu kukuona mtu usie na hoja zaidi ya kujawa na matuc tu na ndo tunajua tabia yako jinsi ulivyo. pole sana.
Hujajibu swali langu, Are you a fool? toa jibu
 
Hata usipopiga kura katiba itapita tu, kwani wewe hilo ulikuwa hulijui mpaka leo, wote wenye akili tunajua itapita hata wananchi wakikataa itapitishwa tu. Nini cha kuizuia isipite, ilipitishwa kwenye BMK penye watu wachache, sembuse kwenye lundo la watu. Wewe endelea kupiga deal lako tu

Sasa ndo unanidhihirishia kuwa umeishiwa hoja kabisa, basi ndugu yangu usikose kuisoma na kuielewa na ufanye maamuzi sahihi katika kupiga kura yako, kumbuka kuwa mzalendo Katiba hii itakusaidia wewe na vizazi
vyako.
UKIENDELEA KUBWABWAJA BASI UMEUKUBALI HUU UJUMBE WANGU VEMA NA HUNA JIPYA!!
 
Katiba mbovu kama hii itakuwa msaada kwa kizazi chako wewe ambacho kinafurahia nchi kuhujumiwa na mafisadi. Nadhani pia huenda umelelewa katika kaya za kifisadi. Kwa hiyo huoniufisadi kuwa ni taatizo but you see it as a way of life. Katiba itapita.

Ushauri wa bure badili ID yako ili nijibu post zako kupitia ID yako nyingine
 
Sasa ndo unanidhihirishia kuwa umeishiwa hoja kabisa, basi ndugu yangu usikose kuisoma na kuielewa na ufanye maamuzi sahihi katika kupiga kura yako, kumbuka kuwa mzalendo Katiba hii itakusaidia wewe na vizazi
vyako.
UKIENDELEA KUBWABWAJA BASI UMEUKUBALI HUU UJUMBE WANGU VEMA NA HUNA JIPYA!!
Jibu swali kama huna kili huna
 
Jibu swali kama huna kili huna

Wewe, uwe muungwana, palipo na ukweli ukubali ukweli. Tanzania ni yako Tanzania ni yangu na ni yetu sote. Tuijenge pamoja kwa kuipa misingi imara.

BASI KOJOA UKALALE NAONA HUNA JIPYA, CJIBU MASWALI YA KIPUUZI KAMA HAYO UNAYOTAKA KUKUJIBU, ULIZA MASWALI KUHUSU KATIBA INAYAOPENDEKEZWA NTAKUJIBU, NA SIO MATUC, HATUKO CHUO CHA MATUC HAPA.
 
katiba mbovu kama hii itakuwa msaada kwa kizazi chako wewe ambacho kinafurahia nchi kuhujumiwa na mafisadi. Nadhani pia huenda umelelewa katika kaya za kifisadi. Kwa hiyo huoniufisadi kuwa ni taatizo but you see it as a way of life. Katiba itapita.

Ushauri wa bure badili id yako ili nijibu post zako kupitia id yako nyingine

unalo hilo mi nakupa dozi tuu mpaka uelewe kuhusu katiba inayopendekezwa, kojoa ukalale wewe nahic unaota hapo, coz unachokiongea unakijua wewe....
 
katiba mbovu kama hii itakuwa msaada kwa kizazi chako wewe ambacho kinafurahia nchi kuhujumiwa na mafisadi. Nadhani pia huenda umelelewa katika kaya za kifisadi. Kwa hiyo huoniufisadi kuwa ni taatizo but you see it as a way of life. Katiba itapita.

Ushauri wa bure badili id yako ili nijibu post zako kupitia id yako nyingine

aaah laaah!! Kumbe ulikuwa na bundle ya 8mb, naona sasa umeishiwa, sasa nimeattach nakala ya katiba inayopendekezwa, tafuta muda isome kwa makini ili next time usiwe mbishi kama mbogo. Download hapo chini....
View attachment 235428
 
Hutotoa point hata moja yenye mashiko. Kwasababu nimeona mengi mabaya ya hiyo katiba pendekezwa nilipoona heading yako nilifurahi nikasema ngoja nisome na upande wa pili kuna mazuri yapi? Umeandika ----- tu, Kama wewe sio mtoto wa akina chenge unaetaka kurithishwa madaraka (Kama kawaida ya CCM) basi utakuwa na hisa sio bure
 
Mbona husemi na yale 20 mliyoyatoa......?
1. Moja ya katiba bora duniani ikilinganishwa na katiba za nchi mbalimbali duniani kama vile kenya, uganda, uingereza, marekani imejielekeza katika kutatua changamoto za makundi yote katika jamii. Mfano haki za binadamu kwa watu wenye ulemavu, watoto, wanawake, vijana, wazee, wakulima, wafugaji, wavuvi, wachimbaji wadogo wadogo na wasanii. 2. Mchakato wa upatikanaji wa katiba inayopendekezwa ulikuwa wa uwazi na shirikishi uteuzi wa wajumbe walioshiriki katika uandaaji ulizingatia uwakilishi kutoka makundi mbalimbali ya kijamii wakiwemo wabunge, wawakilishi kutoka vyama vyote vya siasa vyenye usajili wa kudumu, watu wenye ulemavu, wanawake, vijana, viongozi wa dini, wazee, wakulima, wafugaji, wavuvi, wachimbaji wadogo wadogo, wasanii, wafanyakazi, waajiri, wafanyabiashara, wasomi n.k. 3. Katiba inayopendekezwa inalenga kuimarisha muungano imezungumzia namna itakavyotatua kero za muungano kupitia uanzishwaji wa tume ya usimamizi na uratibu wa mambo ya muungano (sura ya 9, ibara 127 na 128). Katiba ya mwaka 1977 haikubainisha namna ya kushughulikia kero za muungano na hivyo kero nyingi kuchelewa kutatuliwa kwani hakukuwa na mfumo mahsusi wa kutatua kero za muungano. 4. Katiba inayopendekezwa imebainisha suala la ardhi, maliasili na mazingira sura ya 3 imebainisha suala la ardhi, maliasili na mazingira kwa kuzingatia mgawanyo na matumizi bora ya ardhi, fidia, mipaka, na umiliki ili kuondoa changamoto za mapigano na migogoro ya ardhi, maliasili na mazingira. Hii ni fursa ya katiba inayopendekezwa kutatua migogoro mingi ambayo imekuwa ikirudisha nyuma maendeleo ya sekta hizo. 5. Katiba inayopendekezwa imezungumzia misingi ya utawala bora. Ibara ya 6 ya katiba inaeleza wajibu wa kila mmoja katika uadilifu, demokrasia, uwajibikaji na utawala wa sheria. Jambo hili ni muhimu kwa utawala wa nchi na uwajibikaji wa viongozi katika maendeleo ya nchi. 6. Katiba inayopendekezwa imeweka miiko kwa viongozi wa umma na watumishi wa serikali ibara ya 30 na 31 inaelezea namna ya kuwawajibisha viongozi na watumishi wa umma wanaokiuka sheria, kanuni na taratibu za utumishi wa umma. Kupitia katiba mpya, vitendo vya matumizi mabaya ya madaraka na mali za umma vitakomeshwa. 7. Utashi wa kisiasa wa viongozi kufanikisha upatikanaji wa katiba mpya viongozi mbalimbali wakiwemo wa vyama vya siasa, vyama vya hiari na viongozi wa makundi mbalimbali kama wanawake, wazee, vijana na hata viongozi wa walemavu kwa pamoja wamedhamiria kupatikana kwa katiba mpya kwa kusimamia michakato yote kwa mujibu wa sheria. Aidha vyama vya siasa vyenye wabunge na visivyo na wabunge vilishiriki katika mchakato wa bunge maaluma la katiba.
 
Naomba unisaidie katiba mpya itamsaidiaje mtanzania kuondokana na umasikini, ukosefu wa huduma bora za afya, elimu,maji,umeme barabara Na jinsi gani itaondoa na kukomesha rushwa na ufisadi.je viongozi wazembe watapewa adhabu gani tofaut na sasa.
 
naomba unisaidie katiba mpya itamsaidiaje mtanzania kuondokana na umasikini, ukosefu wa huduma bora za afya, elimu,maji,umeme barabara na jinsi gani itaondoa na kukomesha rushwa na ufisadi.je viongozi wazembe watapewa adhabu gani tofaut na sasa.

kasome katiba inayopendekezwa katika ibara ya 16-21 utakutana na dira ya maendeleo, kasome pia sura ya 15 ibara ya 249 inayozungumzia mambo ya rushwa, pia soma ile sura ya 4 ibara ya 28-31 utaona mambo ya maadili na miiko ya uongozi na utumishi wa umma.

Naamini nitakuwa nimekujibu vema, sasa kama hiyo katiba pia hauna, nimeattach hapo chini, ipakue (download) kisha isome vema na kuielewa nawe tumia muda wako kuwaelimisha wenzio wasioelewa uzuri wa katiba hii inayopendekezwa.
View attachment 235939
 
hutotoa point hata moja yenye mashiko. Kwasababu nimeona mengi mabaya ya hiyo katiba pendekezwa nilipoona heading yako nilifurahi nikasema ngoja nisome na upande wa pili kuna mazuri yapi? Umeandika ----- tu, kama wewe sio mtoto wa akina chenge unaetaka kurithishwa madaraka (kama kawaida ya ccm) basi utakuwa na hisa sio bure

we ulivutiwa na heading na sio content!!?? Sasa kwanini usitumie muda wako kuisoma hiyo katiba, hapa hatuongelei mambo ya vyama, naona maneno ya dada hapo juu yamekukuna kweli? Inaonekana pia umeishiwa hoja ndo maana unashikilia eti mtoto wa chenge, hakuna mwenye hisa humu, kila mtu anapigania maslai ya taifa lake, wewe kama sio mtanzania nenda baghdad huko, kwanza namashaka na uraia wako!!
 
Back
Top Bottom