bmbalamwezi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 788
- 195
naona hapa tunaongea na watu wasioelewa. Watu wa namna hii ni wazuri sana kwani wanakiri kuwa hawaelewi hivyo wakieleweshwa kama ninavyofanya sasa hivi. Mwakaboko wewe utakuwa mwanafunzi mzuri. Nakumbuka mwanafalsafa socrates alisema ignorance is the source of wisdom. Kwa hiyo bwana mwakaboko naona utakuwa wise muda si mrefu kwani naona umekuwa mwanafunzi mzuri. Elewa kwanza kuwa wewe unaongelea kitu tofauti ndomana unatumia nguvu nyingi au kubwa kujibu hoja, wewe unaongelea katiba ya chenge ambayo hapa haiongelewi. Hapa tunaongelea katiba inayopendekezwa. Nadhani unaanza kuelewa sasa!