Mambo 7 yanayodhihirisha ubora wa katiba inayopendekezwa.

Only the fool will comment like that. Are you a fool?

Najua maneno yangu yanakupagawisha mpaka ucngzi unakosa, shida ya nini? isome uielewe, matuc hayakusaidii kitu humu ndani zaidi ya watu kukuona mtu usie na hoja zaidi ya kujawa na matuc tu na ndo tunajua tabia yako jinsi ulivyo. pole sana.
 
Weka hoja sio kubashiri mambo yasiyo!
katiba itapita hata usipopiga kampeni itapita, Endelea kula mpunga wako, kwani mafisadi hawajakupa pesa za vifurushi, sasa umejiunga jana kwa lipi, Wewe kula hela yao tembea zako
 
Najua maneno yangu yanakupagawisha mpaka ucngzi unakosa, shida ya nini? isome uielewe, matuc hayakusaidii kitu humu ndani zaidi ya watu kukuona mtu usie na hoja zaidi ya kujawa na matuc tu na ndo tunajua tabia yako jinsi ulivyo. pole sana.
Hujajibu swali langu, Are you a fool? toa jibu
 

Sasa ndo unanidhihirishia kuwa umeishiwa hoja kabisa, basi ndugu yangu usikose kuisoma na kuielewa na ufanye maamuzi sahihi katika kupiga kura yako, kumbuka kuwa mzalendo Katiba hii itakusaidia wewe na vizazi
vyako.
UKIENDELEA KUBWABWAJA BASI UMEUKUBALI HUU UJUMBE WANGU VEMA NA HUNA JIPYA!!
 
Hujajibu swali langu, Are you a fool? toa jibu

Sasa ndo unanidhihirishia kuwa umeishiwa hoja kabisa, basi ndugu yangu usikose kuisoma na kuielewa na ufanye maamuzi sahihi katika kupiga kura yako, kumbuka kuwa mzalendo Katiba hii itakusaidia wewe na vizazi
vyako.
UKIENDELEA KUBWABWAJA BASI UMEUKUBALI HUU UJUMBE WANGU VEMA NA HUNA JIPYA!!
 
Katiba mbovu kama hii itakuwa msaada kwa kizazi chako wewe ambacho kinafurahia nchi kuhujumiwa na mafisadi. Nadhani pia huenda umelelewa katika kaya za kifisadi. Kwa hiyo huoniufisadi kuwa ni taatizo but you see it as a way of life. Katiba itapita.

Ushauri wa bure badili ID yako ili nijibu post zako kupitia ID yako nyingine
 
Jibu swali kama huna kili huna
 
Jibu swali kama huna kili huna

Wewe, uwe muungwana, palipo na ukweli ukubali ukweli. Tanzania ni yako Tanzania ni yangu na ni yetu sote. Tuijenge pamoja kwa kuipa misingi imara.

BASI KOJOA UKALALE NAONA HUNA JIPYA, CJIBU MASWALI YA KIPUUZI KAMA HAYO UNAYOTAKA KUKUJIBU, ULIZA MASWALI KUHUSU KATIBA INAYAOPENDEKEZWA NTAKUJIBU, NA SIO MATUC, HATUKO CHUO CHA MATUC HAPA.
 

unalo hilo mi nakupa dozi tuu mpaka uelewe kuhusu katiba inayopendekezwa, kojoa ukalale wewe nahic unaota hapo, coz unachokiongea unakijua wewe....
 

aaah laaah!! Kumbe ulikuwa na bundle ya 8mb, naona sasa umeishiwa, sasa nimeattach nakala ya katiba inayopendekezwa, tafuta muda isome kwa makini ili next time usiwe mbishi kama mbogo. Download hapo chini....
View attachment 235428
 
Hutotoa point hata moja yenye mashiko. Kwasababu nimeona mengi mabaya ya hiyo katiba pendekezwa nilipoona heading yako nilifurahi nikasema ngoja nisome na upande wa pili kuna mazuri yapi? Umeandika ----- tu, Kama wewe sio mtoto wa akina chenge unaetaka kurithishwa madaraka (Kama kawaida ya CCM) basi utakuwa na hisa sio bure
 
Mbona husemi na yale 20 mliyoyatoa......?
 
Naomba unisaidie katiba mpya itamsaidiaje mtanzania kuondokana na umasikini, ukosefu wa huduma bora za afya, elimu,maji,umeme barabara Na jinsi gani itaondoa na kukomesha rushwa na ufisadi.je viongozi wazembe watapewa adhabu gani tofaut na sasa.
 
naomba unisaidie katiba mpya itamsaidiaje mtanzania kuondokana na umasikini, ukosefu wa huduma bora za afya, elimu,maji,umeme barabara na jinsi gani itaondoa na kukomesha rushwa na ufisadi.je viongozi wazembe watapewa adhabu gani tofaut na sasa.

kasome katiba inayopendekezwa katika ibara ya 16-21 utakutana na dira ya maendeleo, kasome pia sura ya 15 ibara ya 249 inayozungumzia mambo ya rushwa, pia soma ile sura ya 4 ibara ya 28-31 utaona mambo ya maadili na miiko ya uongozi na utumishi wa umma.

Naamini nitakuwa nimekujibu vema, sasa kama hiyo katiba pia hauna, nimeattach hapo chini, ipakue (download) kisha isome vema na kuielewa nawe tumia muda wako kuwaelimisha wenzio wasioelewa uzuri wa katiba hii inayopendekezwa.
View attachment 235939
 

we ulivutiwa na heading na sio content!!?? Sasa kwanini usitumie muda wako kuisoma hiyo katiba, hapa hatuongelei mambo ya vyama, naona maneno ya dada hapo juu yamekukuna kweli? Inaonekana pia umeishiwa hoja ndo maana unashikilia eti mtoto wa chenge, hakuna mwenye hisa humu, kila mtu anapigania maslai ya taifa lake, wewe kama sio mtanzania nenda baghdad huko, kwanza namashaka na uraia wako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…