Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli ni changamoto lakini inawezekana kwa sababu kupuuzia yanayokukwamisha ni kwa faida yako....Nimejikuta najihakikisha kama nipo hai aisee maana zinanilenga kweli kweli hizi...
Namba moja sikubaliani ng'o! Yani jitu liniletee usenge halafu mimi niendelee kulichekea tu... labda Yesu
Shukrani MkuuAhsante
Sijatoa Kanuni Mkuu ila nimeonesha masuala ya kawaida kabisa yanayotupata wote..Maisha hayana formula, turudie mara ngapi?
Sijatoa Kanuni Mkuu ila nimeonesha masuala ya kawaida kabisa yanayotupata wote..Maisha hayana formula, turudie mara ngapi?
Haya sawa ila tambua Matatizo yote unayoyaona chanzo ni binadamuInawezekana Mkuu,kwani hao tunaowahofu wanafanyaje?au ambao tunawaona hawahofu wanafanyaje?...it is possible kujifunza tu kushinda masuala yanayotuumiza na kuturudisha nyuma.
Yaani namba moja acha iniuwe na kunizika lkn Kuna watu siwezi kuwasamehe bure bure tuuu.
Unachotakiwa Ni kuwasamehe na kuwa makini nao wasije kukuumiza tena, kisasi hakiwezi kukupa furaha kamwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina kusasi nao ila ule ukaribu km wa zamani haupo kabisa hasa namba zao sina
Kuondoa ukaribu bila kuwasamehe bado Ni tatizo, please samehe na kusahau
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ningekusimulia ungesema heri miye nimewaacha bado wanapumua
Tafadhali,kama ni mkristo soma Yeremia 12:6 halafu naomba mrejesho. Nimewahi kufanyiwa kitu kibaya sana na ndugu zangu kwa matumaini yao kwamba ninaweza kujiua. Kwa kweli ilikuwa mtihani mkubwa sana. Nashukuru sana Mungu hali sasa imetuliaMungu mwenye rehema nyingi atusaidie kuyaishi haya, maana kwa kweli kikawaida hatuwezi, hivyo ibada, sala na maombi iwe sehemu ya maisha yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa huru ndugu, si ungejenga hoja yako kwa uwazi ili tujifunze wote?Nimependa nini umefanya but kuna kitu kime-miss nafikili strong point na maelezo ya kutosha ndo vimekosekana ila ni Uzi mzuri brother
Mimi siwezi kuandika kama wewe ila naweza kufikili tu