Mambo 7 yanayowaumiza wanaume kwenye mahusiano

Wanaume wa siku hizi na nyie hata hamjui mwataka nini......

Sikuwa hata na moja kati ya uliyoyataja na bado akaniacha.
I see. Na hakukwambia kwa nini alikuacha?
 
nitafute pesa zilipotea? hizo pesa ni kiasi gani au nijitafutie tu kihohehahe? nyie ndyo mnaogongewa kwa kujidanganya kuwa unatafuta pesa kwa ajili ya mke! zama zimebadilika shtuka boya wewe.
Usikasirike ndgu!!? Wanikasirikie kwa kipi kibaya ndgu yanguu eeh??
Niliquote sehemu moja tu ya uzi huo
4. KUWA TEGEMEZI
Wakati mwingine hata kama huna kitu lakini mwanamke unashauriwa kutojionesha huna kitu. Jioneshe kwamba una kitu hata kama huna. Wanaume wa sasa hawapendi kuwa na mwanamke ambaye kila kitu anategemea kutoka kwa mwanaume.

Sasa nakushangaa wewe unaesema nitagongewa ikiwa kwangu anapata kila kitu sijali huo utegemezi wake au wewe ambae unataka kulelewa.
Furaha ya mwanamke iko kwako kijana mfanye afurahi sio kuwa na mashart kibao utafikiri kuolewa ni lazima.
Na hakukua na ulazima wa kuitana maboya.
 
pole sana, naamini tumeelawana pia.
 
Nina mwanamke ambaye yuko bize muda wote, kazi yake inamfanya vile…. lakini bado ni tegemezi kwa kila kitu.

Nikisema kila kitu sijui unaelewa!!
Toa pesa wee acha kulalama.
 
Toa pesa wee acha kulalama.

Basi naye apunguze ubize huo muda wake niutumie, walau apate kunipikia na kufurahi nami…. sio aniache asubuhi nimelala na usiku akute nimelala na bado hana mia.
 
Nilikuwa naongea na wanajukwaa wa kiumeni mpango wa kukujengea sanamu,na wote wamekubali Sasa tupo kwenye mchakato wa bajeti...
 
Wanaume wa siku hizi na nyie hata hamjui mwataka nini......

Sikuwa hata na moja kati ya uliyoyataja na bado akaniacha.
Mimi sitakuacha, nitakupenda zaidi ya CCM.
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Basi naye apunguze ubize huo muda wake niutumie, walau apate kunipikia na kufurahi nami…. sio aniache asubuhi nimelala na usiku akute nimelala na bado hana mia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo unatakaje?
 
Basi naye apunguze ubize huo muda wake niutumie, walau apate kunipikia na kufurahi nami…. sio aniache asubuhi nimelala na usiku akute nimelala na bado hana mia.
kachukue house grl Moshi hedaru
 
Kwanini Hedaru, wachaga wengi hawajui kupika…. nitazidisha hasira tu.
Ni njiani tu panafikika kirahisi...siku hiyo hiyo unabeba mzigo tena unachagua wewe!

Wengi ni weupe ndo rangi maridhawa inayoweza mshtua mkeo.km si kumpa pressure kabisa.

Hawana gharama kuubwa.

Hawana hasira.

Wana upendo.

Wanasikiliza shida na kuzitatua bila ugomvi.mfano akijua mkeo ameshajirekebisha wanachukua chao kiulainiii...wanasepa bila mkeo kujua hasa kiini.

Hawapendi kujionyesha kwa mkeo kuwa wao wanachukuliwa. Hata mtoto watakuzalia bure ukiwa na sura nzuri km nyarusare matumizi kwao.
 
Tutajitahidi kuacha choko choko tusije mchokoa pweza akakimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…