Mambo 8 Ambayo Huenda Hukuyajua Kuhusu Mila na Desturi za Jamii ya Wamaasai

Hata Kama ningekuwa masai kunywa damu mbichi ni NO
Hujajaribu ukaona utamu wake. Wale jamaa wa K'njaro hukamulia ndimu/limao na kuweka kapilipili kichaa kwa mbaali na hivyo damu huonekana kama imepikwa.
 
9. Wanaume (Vijana wakubwa) waliokwisha kupita rika la jandoni, hawanyoi nywele zao na hujipaka aina ya udongo mwekundu kichwani Ol'karya'
10. Jamii yote imegawanywa kwa Marika (Age groups) na kila rika huwa na kiongozi wake anayechaguliwa au kuteuliwa na rika husika chini ya usimamizi wa kiongozi wa rika la juu zaidi - hawa huitwa Laigwanan'
Kwa hiyo e.g. rika la wanaume-vijana Moran wana laigwanan' wao; rika la Korianga wana laigwan' wao, rika la Landis' wana laigwanan wao,rika la Ormakaa wana Laigwana wao etc. etc
11. Jamii hii ina imani na imesheheni Taaluma kubwa sana kwenye matumizi ya miti-pori kama dawa. Wapo wataalam wa madawa ya kienyeji na hujulikana kwa jina la Oloibon/Laibon -ni sawa na kusema mganga wa kienyeji/jadi/au mzee mwenye ujuzi wa madawa yatokanayo na miti ya porini. Wana imani kubwa ya uwepo wa Mungu (Ngai') lakini wengi ni dini za asili au tuseme hakuna wapagani (atheists) Umasaini.
 
kumbe wama ng'ati hawapendi kuitwa hvyo.maana yake ni shetani.zamani wamasai wauliwa sana na wamang'ati ndo wamasai wakawapa jina hilo.
Lakini mbona Wamasai wameita kijiji chao kimoja jina la Narsetan wakimaaanisha "pale akaapo Shetani"?
 
Lakini mbona Wamasai wameita kijiji chao kimoja jina la Narsetan wakimaaanisha "pale akaapo Shetani"?
hapo itakuwa tatizo ni tafsiri.
ila wamang'ati hawapendi kuitwa jina hilo.
 
Wamasai wanapenga kamasi, kisha wanajisafisha kwa kupekecha mikono, nakushauri usalimiane nao kwa kupeana ngumi na sio kugusanisha viganja
 
Wamasai wanapenga kamasi, kisha wanajisafisha kwa kupekecha mikono, nakushauri usalimiane nao kwa kupeana ngumi na sio kugusanisha viganja
Wengi wao siku hizi wanajitahidi kutokufanya hivo lakini wapo wanaojifuta kwenye fimbo(ngudi') yao.
 
2. Umeongea UJINGA SANA.
mwanaume hakeketqi bali hutahiriwa.

Wanokwketwa ni wanawake.
Umenifanya niache kuusoma uzi wako
 
Wewe imewleqeka vizuri kuliko mleta uzi, utakuwa maasai wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…