Mambo aliyoyafanya Benchikha kwa muda mfupi akiwa na Simba, na pale alipokosea

Mambo aliyoyafanya Benchikha kwa muda mfupi akiwa na Simba, na pale alipokosea

Tukienda kwa takwimu, Simba mpaka sasa kwa msimu huu ina mafanikio kuliko timu nyingine yoyote Tanzania.

1. Makombe mawili (hakuna aliyefikia)
2. Mshindi wa pili Kombe la Mapinduzi
3. Robo Fainali CAFCL (hakuna aliyezidi hapo)
4. Bado inalipambania Kombe la NBC
5. Kufika #5 kwenye rank za CAF (hakuna timu ya TZ iliyowahi kufikia nafasi hiyo)

NB. Yanga haiwezi kuchukua kombe zaidi ya moja msimu huu.
Hilo kombe la dharula nalo unaliweka kwenye mafanikio?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mapinduzi alichukua Mlandege. Unashindwa kutaja Kombe la Muungano kwa sababu nafsi yako inakusuta

Mnaweweseka sana
Tuweweseke wakati kikao kilichopita Rais wenu Kibegi alikijumuisha kama mafanikio ya msimu huu au umesahau. Hapo hapo siku hiyo alipokuwa akiongea mafanikio akaweka na WhatsApp Channel au unabishana na Rais?
 
Mafanikio ya 5imba ya mda wote ni kufanikiwa kumleta Manzoki kwenye mkutano wa kuwachagua viongozi mizigo.
 
Tuweweseke wakati kikao kilichopita Rais wenu Kibegi alikijumuisha kama mafanikio ya msimu huu au umesahau. Hapo hapo siku hiyo alipokuwa akiongea mafanikio akaweka na WhatsApp Channel au unabishana na Rais?
Rais wa Simba ni nani? Embu huu uzi waachie wenye uwezo wa kuchangia mada bila mihemko na ushabiki wa kipuuzi
 
Simba ya msimu ujao itakuwa mbovu zaidi kuliko hii.
Mm Nafikiri hata Matola ni tatizo pale,angeondoka na Kubakia Mgunda na mtu mwingine kabisa jamaa anautaka ukochamkuu na hakuna atakaekaa juu yake km yeye yupo he want to be a coach,atawavuruga sn juu kwakua he want that,mpk simba wakijagundua it’s too late.
 
Mafanikio ya 5imba ya muda wote ni kufanikiwa kumleta Manzoki kwenye mkutano wa kuchagua viongozi mizigo
 
Rais wa Simba ni nani? Embu huu uzi waachie wenye uwezo wa kuchangia mada bila mihemko na ushabiki wa kipuuzi
Inawezekana huja hudhuria kwenye kikao, ngojea tukukumbushe.
images (86).jpeg

Mimi naongea mlicho kiongea nyinyi kwenye kikao mnasema ni upuuzi, ina maana hao viongozi wenu ni wapuuzi.
 
Tuliwahi kusema hapa ishu kubwa ya wachezaji wa Simba ni kujituma. Unaongelea kukata moto na swala la kupiga pasi kiusahihi, hilo ni jambo sio geni kaangalie mechi ya Simba ya Robertinho dhidi ya Al Ahly lile pira lililopigwa hadi inafika full time. Mechi ya Yanga dhidi ya Simba ile mechi Simba alizidiwa mbinu kwa kutaka kupishana na Yanga na hata ya juzi hapa Benchikha alifanya kosa hilo hilo uzuri ni kwamba Yanga wali relax zaidi hata point moja ilikuwa inawatosha.

Benchikha kaishusha zaidi Simba ubora kuliko kuipandisha, Robertinho alikuwa na mbinu na mgumu kupoteza mechi
Ile mechi Simba walijituma sababu Wenga na Frantino walikuwepo..
 
Tumepoteza bonge la kocha
Yaani kama Simba ina nia ya kweli ya kumshinda Al Ahly, Benchikha ndiyo alikuwa mtu sahihi wa kuibeba maana alikuwa na sababu zake binafsi za kutaka kuendelea kuishinda Al Ahly tofauti na kocha mwingine yoyote watakayekuja kumpata. Hiyo ingekuwa sababu tosha ya kufanya kila njia kubaki naye.
 
Benchikha katoka kwenye timu zenye bajeti kubwa kuliko Simba, je huko alikotoka Benchikha aliwahi kuishinda Al Ahly kwenye mafanikio? Hana hata kombe la klabu bingwa tena alikuwa na timu za maana kabisa. Wakati anaondoka USMA aliiacha USMA ikimaliza ligi kuu kwa nafasi ya 12 huko.
 
Yaani kama Simba ina nia ya kweli ya kumshinda Al Ahly, Benchikha ndiyo alikuwa mtu sahihi wa kuibeba maana alikuwa na sababu zake binafsi za kutaka kuendelea kuishinda Al Ahly tofauti na kocha mwingine yoyote watakayekuja kumpata. Hiyo ingekuwa sababu tosha ya kufanya kila njia kubaki naye.
Hakuna kocha pale, timu inashindwa kupata ushindi mbele ya Mashujaa wakiwa pungufu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom