Mambo ambayo Babu zetu walitusihi tuyafuate kwenye mahusiano lakini tuliyapuuza sasa tunaonja joto la Jiwe

Majukumu ya kiume kama yapi?...

Anzia kitandani..
Matumizi (pesa)
Kupendeza (nguo)

Vyote nilimtimizia vilivyo, ila kubali kataa mwanamke akipendwa sana huwa wanaanza malinga linga na huyo mwanamke nilimpiga chini na kuoa mwingine...
Ila baada ya hapo aliludi kwangu akilia mpaka Leo anahitaji huduma yangu na mimi nina familiar tayari ambayo nilioa mwanamke asiye bikra na yupo vizuri hatari.
 
Na ni njia gani utatumia kuhakiki kwamba ni bikra kabla hujamoa..... Utamuuliza tu??

Kuoa Bikra ni bahati Kwa sasa.
Utakachoangalia;
1. Kama unampenda na kama anakupenda,
Ukimkuta Bikra ihesabu kama bahati.

2. Angalia kama mnaelewana, na kila mmoja yupo tayari kuji-fix ili ku-meet demand za mwenzake.

3. Angalia kama Yupo tayari kushirikiana na wewe katika kufanya Maisha pamoja ikiwa ni pamoja na kuyakabili matatizo na changamoto za Ulimwengu.

4. Angalia kama anaelewa Dunia Ipo wapi na inaenda wapi?

5. Angalia kama anapenda Haki na kuifanya

Muhimu kama hujamkuta Bikra basi elewa anabackground nyuma ambayo inaweza kuwa imeacha majeraha makubwa, na kuacha dhana Mbaya na kuondoa Imani yake Kwa Wanaume. Hivyo ni jukumu lako kurejesha hiyo Imani Kabla hujamuoa.

Kumbuka Wanawake wengi hupoteza Imani na wanaume pale wanaposalitiwa.
Kumbuka Wanawake wakiwa kwenye penzi la awali(first kove)hawaoni shida kumpa fedha mpenziwe, lakini ni nadra na ngumu kumkuta Mwanamke asiye Bikra akakupa Pesa kwani akikumbuka yaliyomtokea Hana Hamu.

Bado hujanielewa,

Kumbuka familia inahita mambo yafuatayo;

1. Upendo
2. Uaminifu
3. Haki
4. Uhuru
5. Ukuaji n.k
 

Mwanamke anapendwa kupendwa kwa Akili.
Sio umpende Kwa hisia kama wanavyofanya wao.
 
Nina kichwa kigumu kweli[emoji23] ila wanaopenda mila waendelee kuzifuata, mimi hapana....
 
Nina kichwa kigumu kweli[emoji23] ila wanaopenda mila waendelee kuzifuata, mimi hapana....

Mila na desturi ndio zinazokutambulisha wewe ni Nani, wewe Kam hufuati Mila na desturi zenu lazima utakuwa mtumwa wa Mila za wengine 😀😀.

Labda useme wewe ni mfuasi wa Mila na desturi chotara, unaangalia huku na Huko kisha unachukua Mila zilizo nzuri Kutoka jamii mbalimbali Duniani. Sio kosa.

Hiyo ni muhimu ukiifanya ukiwa na familia yako. Sio vibaya kuiga vitu vizuri na vyema. Ila lazima uvifanyie uchunguzi na kujua hesabu yake
 
Hapo kwenye kulia walie tu kwa kweli,ila inategemea na sababu MTU unakuta kafiwa na mkewe kaachiwa kitoto kichanga ,umwambie ajikaze, mwanaume liaa toa uchungu wako wote ili uishi
 
Hapo kwenye kulia walie tu kwa kweli,ila inategemea na muktadha MTU unakuta kafiwa na mkewe kaachiwa kitoto kichanga ,umwambie ajikaze, mwanaume liaa toa uchungu wako wote ili uishi
Kweli aisee unaficha vitu moyoni vinakulipukia[emoji23]

Ila sasa utafute sehemu iliyofichika ndo ulie[emoji23]
 
Hapo kwenye kulia walie tu kwa kweli,ila inategemea na sababu MTU unakuta kafiwa na mkewe kaachiwa kitoto kichanga ,umwambie ajikaze, mwanaume liaa toa uchungu wako wote ili uishi
Hapo kwenye kulia walie tu kwa kweli,ila inategemea na sababu MTU unakuta kafiwa na mkewe kaachiwa kitoto kichanga ,umwambie ajikaze, mwanaume liaa toa uchungu wako wote ili uishi
 
Kiti chochote usipo kipa umuhimu hakiwezi kukusumbua.

Na kitu kinacholeta usumbufu kwa wengi usikipe umuhimu.

Ili kuishi maisha marefu mazuri na yenye amani usiyape umuhimu mapenzi na yanayo patikanayo kwayo.
Tatizo nyege mkuu
 
Kijana anaoa yeyote anaempenda. Hutajua undani wake hasa katika ulimwengu wa roho. Hiyo ndiyo ndoa ya mateso baadae kwani hukufanya uchunguzi wa kutosha na umetoka nje ya kabila lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…