yellow java
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 1,228
- 2,234
Majukumu ya kiume kama yapi?...Kumtoa Mwanamke Bikra sio Guarantee, Guarantee ni kusimama katika nafasi yako kama Mwanaume.
Lazima uwe zile sampo za mwanaume ambaye wanamke wanamtafuta, na wakimpata wanamganda, na kama ikitokea mkiachana Mwanamke akiri kabisa kuwa amepoteza mwanaume wa kipekee ambaye kumpata haiwezekani.
Wee unamtoa mtoto wawatu Bikra alafu bado hautekelezeki majukumu ya kiume unategemea nini?
Mwanaume ni mchezaji anayecheza Full time, dakika 90
Anzia kitandani..
Matumizi (pesa)
Kupendeza (nguo)
Vyote nilimtimizia vilivyo, ila kubali kataa mwanamke akipendwa sana huwa wanaanza malinga linga na huyo mwanamke nilimpiga chini na kuoa mwingine...
Ila baada ya hapo aliludi kwangu akilia mpaka Leo anahitaji huduma yangu na mimi nina familiar tayari ambayo nilioa mwanamke asiye bikra na yupo vizuri hatari.