Mambo ambayo Babu zetu walitusihi tuyafuate kwenye mahusiano lakini tuliyapuuza sasa tunaonja joto la Jiwe

Mambo ambayo Babu zetu walitusihi tuyafuate kwenye mahusiano lakini tuliyapuuza sasa tunaonja joto la Jiwe

Hakuna formula. Unaweza fanikiwa na unaweza usifanikiwe.
Utandawazi utakuweka kwenye risk. Mwanamke wa form four hajui anataka nn, hajui hatakama anataka kuwa mke au la, anaweza kuingia kwenye ndoa akatulia mpaka atakapoifahamu dunia na kutaka kujaribu mambo yake huku akiwa mkeo. Sasa usiombe akaifahamu iphone na huwezi mnunulia na sura na umbile vinashawishi wanaume kumpatia hiyo iphone. Katika hiyo stage ataona kama hakuwa na maamuzi wakati unamuoa.

Hakuna risk ya utandawazi Kwa Watu waliomakini, au familia Makini.

Alafu sijasema uoe Mwanamke aliyetoka kumaliza kidato cha nne, embu soma uelewe.
Nimeeleza Kwa wanaotafuta Wanawake Bikra wanaweza kuwapata Kwa wanaoingia kidato cha tano na wanaoingia chuo. Kisha waweke courtship then wakiona yafaa wawaoe
 
Koma wewe, shoga mwenyewe. Kwahiyo kutahiriwa hospital tokea lini imekuwa tatizo?
Ulivyosema tu neno ''Koma wewe'' nimeshajua aidha wewe ni wakike uliyeweka DP ya kiume au ni walewale

Peleka mtoto Jando apate mafunzo ya kiume kutoka kwa Wanaume wenzie
 
Akilia mke wake ndio atafufuka? This is women talk unaleta kwa wanaume sasa. Yaani hapo ni kama umemwambia simba kuwa kama njaa inauma sana kula hata majani achana na mambo ya kuwinda. Unasahau kuwa simba huwa hawali nyasi.

Wanaume hawatakiwi kulia, kujaza hasira kifuani, kuongea sana sehemu ya kufanya maamuzi, na zaidi muhimu kabisa wanaume hawatakiwi kuendeshwa na hisia ila akili.
Kwahiyo we hujawahi kulia kwenye maisha yako ,???
 
Hakuna risk ya utandawazi Kwa Watu waliomakini, au familia Makini.

Alafu sijasema uoe Mwanamke aliyetoka kumaliza kidato cha nne, embu soma uelewe.
Nimeeleza Kwa wanaotafuta Wanawake Bikra wanaweza kuwapata Kwa wanaoingia kidato cha tano na wanaoingia chuo. Kisha waweke courtship then wakiona yafaa wawaoe
Risk ipo kwa watu wote wakati wote. Isingekuwepo usingehangaika kutoa formula hapa.
 
Risk ipo kwa watu wote wakati wote. Isingekuwepo usingehangaika kutoa formula hapa.

Formula zinatolewa Kwa Wazazi ili Wazidi kuwa Makini.
Risk Ipo Kwa Watu wasio Makini, wadandia mambo, wanaoishi bila uangalizi,

Kuna familia utandawazi kwao ni ishu positive hasa kibiashara na hawajawahi kuonja negative impact ya utandawazi.
Utandawazi ni mzuri Kwa familia Bora
 
Ndio Ila courtship ni muhimu, ili kumjua MTU unayeenda kumuoa.
Ni hatari kuishi na mtu usiyemjua, Watu wanasema Watu wanabadilika lakini ukweli ni kuwa MTU habadiliki, MTU ni yuleyule tangu amezaliwa mpaka anazeeka na Kufa
Hatubadiliki tunaficha madhaifu yetu ili umteke uliemkusudia.
Ukimchoka makucha yanachomoka.
 
Mkuu

Unaweza ukawa nunda na jeuri n ukajenga mji wako kwa msimamo wako lakini mwanamke akishaona mafanikio tayari tena bado vijana!

Anakugeuka na kuanza visa mwisho wa siku ukimdunda ustawi wanamaliza kila kitu!!

Unabaki kapuku!

Hilo nimeliona live!

Jamaa alikua fundi ujenzi kaoa mbena wa iringa AISEH kachezewa mchezo kabaki kapuku na chumba kimoja tu cha kulala!!vingine vyote watoto na mama yao!!!
Jamaa yako alikuwa lofa. Huwezi kuwa na mafanikio makubwa kabisa then ukawa lofa. Fuatilia matajiri wote wakubwa huwezi kukuta lofa kwenye list zao. Masikini ndiyo huwa malofa

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Lo

Lofa ki vipi!!?

Kama nimrod mkono na UJANJA wake wote wa sheria kalizwa na mkewe HADI kawekwa safe house hadi umauti ukamkuta!!?

YAANI

Mi NADHANI familia zinatuumiza sana wanaume tunazozijali!!!
 
Bikra Ipi unayozungumzia kizaz hiki, mtoto wa daras la nne keshayajua hayo mambo, labda ya kwapa
 
Mkuu

Unaweza ukawa nunda na jeuri n ukajenga mji wako kwa msimamo wako lakini mwanamke akishaona mafanikio tayari tena bado vijana!

Anakugeuka na kuanza visa mwisho wa siku ukimdunda ustawi wanamaliza kila kitu!!

Unabaki kapuku!

Hilo nimeliona live!

Jamaa alikua fundi ujenzi kaoa mbena wa iringa AISEH kachezewa mchezo kabaki kapuku na chumba kimoja tu cha kulala!!vingine vyote watoto na mama yao!!!
Ndio maana tuna sisitiza Kataa ndoa.

Ndoa ni ulaghai, ndoa ni Utapeli ndoa ni unyonyaji.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom