Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #121
Hakuna formula. Unaweza fanikiwa na unaweza usifanikiwe.
Utandawazi utakuweka kwenye risk. Mwanamke wa form four hajui anataka nn, hajui hatakama anataka kuwa mke au la, anaweza kuingia kwenye ndoa akatulia mpaka atakapoifahamu dunia na kutaka kujaribu mambo yake huku akiwa mkeo. Sasa usiombe akaifahamu iphone na huwezi mnunulia na sura na umbile vinashawishi wanaume kumpatia hiyo iphone. Katika hiyo stage ataona kama hakuwa na maamuzi wakati unamuoa.
Hakuna risk ya utandawazi Kwa Watu waliomakini, au familia Makini.
Alafu sijasema uoe Mwanamke aliyetoka kumaliza kidato cha nne, embu soma uelewe.
Nimeeleza Kwa wanaotafuta Wanawake Bikra wanaweza kuwapata Kwa wanaoingia kidato cha tano na wanaoingia chuo. Kisha waweke courtship then wakiona yafaa wawaoe