Mambo ambayo Babu zetu walitusihi tuyafuate kwenye mahusiano lakini tuliyapuuza sasa tunaonja joto la Jiwe

Mkuu

Unaweza ukawa nunda na jeuri n ukajenga mji wako kwa msimamo wako lakini mwanamke akishaona mafanikio tayari tena bado vijana!

Anakugeuka na kuanza visa mwisho wa siku ukimdunda ustawi wanamaliza kila kitu!!

Unabaki kapuku!

Hilo nimeliona live!

Jamaa alikua fundi ujenzi kaoa mbena wa iringa AISEH kachezewa mchezo kabaki kapuku na chumba kimoja tu cha kulala!!vingine vyote watoto na mama yao!!!
 
Ukiona mwanaume anashirikisha mwanamke kwenye kutafuta pesa basi jua huyu mwanamke anausimamizi mbovu wa kipato au sio mshauri mzuri kwa mwanaume wake.

Kuna mwanamke pesa unazopata ukimshirikisha anakuwa mshauri mzuri sana kiasi kwamba kuna vitu vidogo vidogo ambavyo tunavioverlook katika Maisha ila yeye atavisimamia na ndipo hapo maisha unaona yanakwenda smooth. Huwezi mwambia huyu mwanamke aache kufanya hivi vitu eti na yeye atoke nje akatafute kipato maana automatically utaona kuwa ataacha kufanya hivi vitu.

Sasa unaishi na mtu yeye kazi ni kukutengenezea bili na kukusomea bili ili wewe utoe pesa kisa yeye ni mkeo? Matokeo yake mwanaume anaona wewe unaona raha sana mimi kutoa hela wewe kuzitumia hovyo hauna hata huruma na namna nateseka kuzitafuta basi na wewe toka nje ukatafute uone zilivyongumu kupatikana ndipo uwe na adabu nazo.
 
Kiti chochote usipo kipa umuhimu hakiwezi kukusumbua.

Na kitu kinacholeta usumbufu kwa wengi usikipe umuhimu.

Ili kuishi maisha marefu mazuri na yenye amani usiyape umuhimu mapenzi na yanayo patikanayo kwayo.
Huu ushauri uingizwe kwenye Biblia Agano jipya Chap
 
Umesahau kuwaambia mwanaume unapo itilafiana na mwanamke wako.. hutakiwi kusuluishwa na mtu ambae hajaoa na ambaye ana uzoefu wa mambo ya ndoa kwa muda wa miaka kumi na tano (15) kuendelea bila kuachana na mkewe . Pia kikao cha suluhu kisiwe na wanawake wengine zaidi ya mkeo tuu basi...
 
Hapo kwenye kulia walie tu kwa kweli,ila inategemea na sababu MTU unakuta kafiwa na mkewe kaachiwa kitoto kichanga ,umwambie ajikaze, mwanaume liaa toa uchungu wako wote ili uishi
Akilia mke wake ndio atafufuka? This is women talk unaleta kwa wanaume sasa. Yaani hapo ni kama umemwambia simba kuwa kama njaa inauma sana kula hata majani achana na mambo ya kuwinda. Unasahau kuwa simba huwa hawali nyasi.

Wanaume hawatakiwi kulia, kujaza hasira kifuani, kuongea sana sehemu ya kufanya maamuzi, na zaidi muhimu kabisa wanaume hawatakiwi kuendeshwa na hisia ila akili.
 
Hao wanaume kuwapata kazi, waliopo ni wale ambao akikatiza panya miguuni nae amesharuka juu ya kochi. Kuna kazi tena!?
Sometimes anaogopa kuua vitu vidogo visivyo na hatia. Wewe haujawahi kuwana mbwa anampiga biti simba na simba anauchuna anakuwa kama anamkwepa huyo mbwa.

Kudeal na panya hiyo ni kazi ya paka ambaye ni wewe mkewe . [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Exactly
Hapa umenena

Ili umpate bikra chagua mwanamke anaeingia kidato Cha Tano au anaeanza first year.

Angalizo; usimuonje kabla ya ndoa utakuja kunishukuru.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Pale Akyoo ana mzalisha Ayo ambaye ni ndugu yake kasoro jina
Lazima iwe changamoto hapo aiseee. Unajua haya mambo yapo sana. Na hizi familia utazijua tu. Kunakuwa na ukaribu wa kindugu usio wa kawaida. Mtu anawasiliana na ndugu yake ona daily basis yaani kila saa ni simu utadhani ni mashosti.

Ukimuuliza wewe huwa mnaongea nini na hawa ndugu zako na sasa una maisha yako unajitegemea, anakuuliza swali la kipuuzi utasikia "heeeeh sasa ni vibaya kuongea na ndugu zangu".
 
Mkuu mbona bibi yangu kamzidi babu mwaka, na hawasumbuani??
Shida ya zamani na sasa ni kuwa zamani mwanamke hata kama anajua vitu kumzidi mwanaume kulikuwa na mfumo wa discipline umewekwa kwenye jamii kiasi kwamba ni ngumu sana mwanamke kukinzana na mwanaume. So hata kama amemzidi umri adabu ilikuwa sehemu ya maisha yake na mumewe.

Ila miaka hii hawa kuku wa broiler tunaokutana nao wengi wao wanakuzwa na mafunzo ya hawa feminists kuwa mwanamke na mwanaume nyote mnasauti sana na kilakitu sawa. Sasa katika eneo hilo mwanamke lazima awe mjuaji halafu ndio uongezee na umri akuzidi si mtakuwa mkibishana utasikia anakwambia "halafu dogo mimi ni mkubwa acha ubishi" [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama haendelei na shule aoe tu.
 
Hakuna formula. Unaweza fanikiwa na unaweza usifanikiwe.
Utandawazi utakuweka kwenye risk. Mwanamke wa form four hajui anataka nn, hajui hatakama anataka kuwa mke au la, anaweza kuingia kwenye ndoa akatulia mpaka atakapoifahamu dunia na kutaka kujaribu mambo yake huku akiwa mkeo. Sasa usiombe akaifahamu iphone na huwezi mnunulia na sura na umbile vinashawishi wanaume kumpatia hiyo iphone. Katika hiyo stage ataona kama hakuwa na maamuzi wakati unamuoa.
 
Haya mambo hayana formula, mnayachambua sana...
 
Nouma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…