Chivundu
Platinum Member
- Dec 17, 2012
- 7,781
- 6,966
Bikra pure zipo mzee na zimeshatoka primary. Ukitulia unapata bikra fresh tuu.Bikra fata primary ufungwe 30
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bikra pure zipo mzee na zimeshatoka primary. Ukitulia unapata bikra fresh tuu.Bikra fata primary ufungwe 30
Mkuu muiraq wako bado anakutesa?Sure brother, tunateseka sana bila ya ya sababu, yaani suffering without reason.
Pale Akyoo ana mzalisha Ayo ambaye ni ndugu yake kasoro jinaFafanua zaidi umemaanisha nini kusema inbreeding pale Meru?! Ila ile sehemu kuna wanawake wa hovyo sijawahi kuona.
MkuuKumtoa Mwanamke Bikra sio Guarantee, Guarantee ni kusimama katika nafasi yako kama Mwanaume.
Lazima uwe zile sampo za mwanaume ambaye wanamke wanamtafuta, na wakimpata wanamganda, na kama ikitokea mkiachana Mwanamke akiri kabisa kuwa amepoteza mwanaume wa kipekee ambaye kumpata haiwezekani.
Wee unamtoa mtoto wawatu Bikra alafu bado hautekelezeki majukumu ya kiume unategemea nini?
Mwanaume ni mchezaji anayecheza Full time, dakika 90
Ndio hiyohiyo,si unaona umeelewa namanisha nini..... Asante lknBuibui [emoji777]
Baibui[emoji3581]
Ukiona mwanaume anashirikisha mwanamke kwenye kutafuta pesa basi jua huyu mwanamke anausimamizi mbovu wa kipato au sio mshauri mzuri kwa mwanaume wake.Taikon kwenye hiyo recipe umesahau ingredient moja ya muhimu sana.
Lisha, tunza familia.Wanaume sasa hilo jukumu wanataka wanawake ndio wawajibike nalo au hata wachangie ni ukweli usiopingika mke au familia hupunguza heshima kwa kichwa cha familia asipotekeleza huo wajibu.
We jamaa na hili likatuni lako unanichekesha sana 😀
Huu ushauri uingizwe kwenye Biblia Agano jipya ChapKiti chochote usipo kipa umuhimu hakiwezi kukusumbua.
Na kitu kinacholeta usumbufu kwa wengi usikipe umuhimu.
Ili kuishi maisha marefu mazuri na yenye amani usiyape umuhimu mapenzi na yanayo patikanayo kwayo.
Mkuu mbona bibi yangu kamzidi babu mwaka, na hawasumbuani??Kwa sababu lazima akuzidi Akili na mahitaji
Akilia mke wake ndio atafufuka? This is women talk unaleta kwa wanaume sasa. Yaani hapo ni kama umemwambia simba kuwa kama njaa inauma sana kula hata majani achana na mambo ya kuwinda. Unasahau kuwa simba huwa hawali nyasi.Hapo kwenye kulia walie tu kwa kweli,ila inategemea na sababu MTU unakuta kafiwa na mkewe kaachiwa kitoto kichanga ,umwambie ajikaze, mwanaume liaa toa uchungu wako wote ili uishi
Sometimes anaogopa kuua vitu vidogo visivyo na hatia. Wewe haujawahi kuwana mbwa anampiga biti simba na simba anauchuna anakuwa kama anamkwepa huyo mbwa.Hao wanaume kuwapata kazi, waliopo ni wale ambao akikatiza panya miguuni nae amesharuka juu ya kochi. Kuna kazi tena!?
Exactly[emoji3][emoji3][emoji3]
Mabinti wengi hutoa Bikra zao wakiwa wanaingia kidato cha tano na wanaoingia chuo kikuu. Nazungumzia Wadada wasomi.
Tatizo wanakutana na wanaume washenzi, wanawadanganya.
Hivyo kama kuna kijana anatafuta Mwanamke wa kuoo aliyebikra basi nitamshauri asubiri wanaomaliza kidato cha nne, kisha akipata waanzishe Courtship Kwa miaka miwili mitatu mtoto atakuwa ameshafika chuo, Aoe. Simple
Lazima iwe changamoto hapo aiseee. Unajua haya mambo yapo sana. Na hizi familia utazijua tu. Kunakuwa na ukaribu wa kindugu usio wa kawaida. Mtu anawasiliana na ndugu yake ona daily basis yaani kila saa ni simu utadhani ni mashosti.Pale Akyoo ana mzalisha Ayo ambaye ni ndugu yake kasoro jina
We jamaa na hili likatuni lako unanichekesha sana 😀
Shida ya zamani na sasa ni kuwa zamani mwanamke hata kama anajua vitu kumzidi mwanaume kulikuwa na mfumo wa discipline umewekwa kwenye jamii kiasi kwamba ni ngumu sana mwanamke kukinzana na mwanaume. So hata kama amemzidi umri adabu ilikuwa sehemu ya maisha yake na mumewe.Mkuu mbona bibi yangu kamzidi babu mwaka, na hawasumbuani??
Kama haendelei na shule aoe tu.😀😀😀
Mabinti wengi hutoa Bikra zao wakiwa wanaingia kidato cha tano na wanaoingia chuo kikuu. Nazungumzia Wadada wasomi.
Tatizo wanakutana na wanaume washenzi, wanawadanganya.
Hivyo kama kuna kijana anatafuta Mwanamke wa kuoo aliyebikra basi nitamshauri asubiri wanaomaliza kidato cha nne, kisha akipata waanzishe Courtship Kwa miaka miwili mitatu mtoto atakuwa ameshafika chuo, Aoe. Simple
Hakuna formula. Unaweza fanikiwa na unaweza usifanikiwe.😀😀😀
Mabinti wengi hutoa Bikra zao wakiwa wanaingia kidato cha tano na wanaoingia chuo kikuu. Nazungumzia Wadada wasomi.
Tatizo wanakutana na wanaume washenzi, wanawadanganya.
Hivyo kama kuna kijana anatafuta Mwanamke wa kuoo aliyebikra basi nitamshauri asubiri wanaomaliza kidato cha nne, kisha akipata waanzishe Courtship Kwa miaka miwili mitatu mtoto atakuwa ameshafika chuo, Aoe. Simple
Haya mambo hayana formula, mnayachambua sana...Shida ya zamani na sasa ni kuwa zamani mwanamke hata kama anajua vitu kumzidi mwanaume kulikuwa na mfumo wa discipline umewekwa kwenye jamii kiasi kwamba ni ngumu sana mwanamke kukinzana na mwanaume. So hata kama amemzidi umri adabu ilikuwa sehemu ya maisha yake na mumewe.
Ila miaka hii hawa kuku wa broiler tunaokutana nao wengi wao wanakuzwa na mafunzo ya hawa feminists kuwa mwanamke na mwanaume nyote mnasauti sana na kilakitu sawa. Sasa katika eneo hilo mwanamke lazima awe mjuaji halafu ndio uongezee na umri akuzidi si mtakuwa mkibishana utasikia anakwambia "halafu dogo mimi ni mkubwa acha ubishi" [emoji23][emoji23][emoji23]
Nouma sanaLazima iwe changamoto hapo aiseee. Unajua haya mambo yapo sana. Na hizi familia utazijua tu. Kunakuwa na ukaribu wa kindugu usio wa kawaida. Mtu anawasiliana na ndugu yake ona daily basis yaani kila saa ni simu utadhani ni mashosti.
Ukimuuliza wewe huwa mnaongea nini na hawa ndugu zako na sasa una maisha yako unajitegemea, anakuuliza swali la kipuuzi utasikia "heeeeh sasa ni vibaya kuongea na ndugu zangu".