Mambo ambayo Babu zetu walitusihi tuyafuate kwenye mahusiano lakini tuliyapuuza sasa tunaonja joto la Jiwe


Hakuna risk ya utandawazi Kwa Watu waliomakini, au familia Makini.

Alafu sijasema uoe Mwanamke aliyetoka kumaliza kidato cha nne, embu soma uelewe.
Nimeeleza Kwa wanaotafuta Wanawake Bikra wanaweza kuwapata Kwa wanaoingia kidato cha tano na wanaoingia chuo. Kisha waweke courtship then wakiona yafaa wawaoe
 
Koma wewe, shoga mwenyewe. Kwahiyo kutahiriwa hospital tokea lini imekuwa tatizo?
Ulivyosema tu neno ''Koma wewe'' nimeshajua aidha wewe ni wakike uliyeweka DP ya kiume au ni walewale

Peleka mtoto Jando apate mafunzo ya kiume kutoka kwa Wanaume wenzie
 
Kwahiyo we hujawahi kulia kwenye maisha yako ,???
 
Marioo + viben 10 + Chawa = Wanavuliwa sana ubingwa wa Kiume
 
Risk ipo kwa watu wote wakati wote. Isingekuwepo usingehangaika kutoa formula hapa.
 
Risk ipo kwa watu wote wakati wote. Isingekuwepo usingehangaika kutoa formula hapa.

Formula zinatolewa Kwa Wazazi ili Wazidi kuwa Makini.
Risk Ipo Kwa Watu wasio Makini, wadandia mambo, wanaoishi bila uangalizi,

Kuna familia utandawazi kwao ni ishu positive hasa kibiashara na hawajawahi kuonja negative impact ya utandawazi.
Utandawazi ni mzuri Kwa familia Bora
 
Ndio Ila courtship ni muhimu, ili kumjua MTU unayeenda kumuoa.
Ni hatari kuishi na mtu usiyemjua, Watu wanasema Watu wanabadilika lakini ukweli ni kuwa MTU habadiliki, MTU ni yuleyule tangu amezaliwa mpaka anazeeka na Kufa
Hatubadiliki tunaficha madhaifu yetu ili umteke uliemkusudia.
Ukimchoka makucha yanachomoka.
 
Jamaa yako alikuwa lofa. Huwezi kuwa na mafanikio makubwa kabisa then ukawa lofa. Fuatilia matajiri wote wakubwa huwezi kukuta lofa kwenye list zao. Masikini ndiyo huwa malofa

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Lo
Jamaa yako alikuwa lofa. Huwezi kuwa na mafanikio makubwa kabisa then ukawa lofa. Fuatilia matajiri wote wakubwa huwezi kukuta lofa kwenye list zao. Masikini ndiyo huwa malofa

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Lofa ki vipi!!?

Kama nimrod mkono na UJANJA wake wote wa sheria kalizwa na mkewe HADI kawekwa safe house hadi umauti ukamkuta!!?

YAANI

Mi NADHANI familia zinatuumiza sana wanaume tunazozijali!!!
 
Bikra Ipi unayozungumzia kizaz hiki, mtoto wa daras la nne keshayajua hayo mambo, labda ya kwapa
 
Ndio maana tuna sisitiza Kataa ndoa.

Ndoa ni ulaghai, ndoa ni Utapeli ndoa ni unyonyaji.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…