Mambo ambayo Babu zetu walitusihi tuyafuate kwenye mahusiano lakini tuliyapuuza sasa tunaonja joto la Jiwe

Kiti chochote usipo kipa umuhimu hakiwezi kukusumbua.

Na kitu kinacholeta usumbufu kwa wengi usikipe umuhimu.

Ili kuishi maisha marefu mazuri na yenye amani usiyape umuhimu mapenzi na yanayo patikanayo kwayo.
😊 umenena vyema Pendaelli na tena ukitaka kumwua mbwa mpe jina baya.
 
Kiti chochote usipo kipa umuhimu hakiwezi kukusumbua.

Na kitu kinacholeta usumbufu kwa wengi usikipe umuhimu.

Ili kuishi maisha marefu mazuri na yenye amani usiyape umuhimu mapenzi na yanayo patikanayo kwayo.

Ni kweli Kabisa.
Ila Kwa bahati Mbaya sijui nzuri Familia ni muhimu.
Tunaishi Kwa sababu ya familia zetu.
Na familia ni mahusiano baina ya Watu.
 
Umuhimu gani...

Bikra ni alama ya usafi na uaminifu Kwa Mwanamke.
Mwanamke Bikra hajajeruhiwa na Wahuni hivyo kiwango chake cha uaminifu Kwa mumewe ni kikubwa tofauti na asiye na Bikra.

Mwanamke akishatendwa na Mwanaume wa Kwanza aliyempenda anabadilika Kwa kiwango kikubwa.
Wanasema maumivu ya Mapenzi ni mara moja tuu.

Bado hujanielewa niendelee?
 
Taikon kwenye hiyo recipe umesahau ingredient moja ya muhimu sana.

Lisha, tunza familia.Wanaume sasa hilo jukumu wanataka wanawake ndio wawajibike nalo au hata wachangie ni ukweli usiopingika mke au familia hupunguza heshima kwa kichwa cha familia asipotekeleza huo wajibu.
 
Sio kila mwanamke mwaminifu aliolewa akiwa bikra....
 
Sijawahi ona mwanaume anaelia lia akipata tatzo

Waulize Wanawake ndio wanawajua hao wanaume wanaolia Lia,
Wewe huwezi kuwaona wanaume wanaolialia Ila Dada zetu wanajua nini ninasema,

Kwa mfano, Mwanamke akikuomba Pesa au akikuambia wewe huna pesa ya kumpa, majibu utakayompa ndio yadhihirisha wewe ni Mwanaume halisi au wale wanaume lialia.
 
Sio kila mwanamke mwaminifu aliolewa akiwa bikra....

Upo sahihi.
Ila elewa kuwa Mwanamke au Mwanaume anaposalitiwa na Kuumizwa na Mpenzi wake wa awali hubadilika Kwa kiwango kikubwa. Na hiyo ndio Sababu unatakiwa utafute Fresh has kama wewe ni kijana Mdogo.

Mwanamke hawezi kuamini Kwa kiwango alichomuamini Mpenzi wake wakwanza, Ipo Hivyo.
 
Taikon kwenye hiyo recipe umesahau ingredient moja ya muhimu sana.

Lisha, tunza familia.Wanaume sasa hilo jukumu wanataka wanawake ndio wawajibike nalo au hata wachangie ni ukweli usiopingika mke au familia hupunguza heshima kwa kichwa cha familia asipotekeleza huo wajibu.

Kesho nitapandisha Uzi hapa Kwa ninayoyaona Huko mashambani na mjini kuhusu Wanawake.
Siku hizi Wanawake wanakula Kwa jasho na hapohapo wanazaa Kwa uchungu. Hiyo ndio itakuwa mada.
 
Upo sahihi.
Ila elewa kuwa Mwanamke au Mwanaume anaposalitiwa na Kuumizwa na Mpenzi wake wa awali hubadilika Kwa kiwango kikubwa. Na hiyo ndio Sababu unatakiwa utafute Fresh has kama wewe ni kijana Mdogo.

Mwanamke hawezi kuamini Kwa kiwango alichomuamini Mpenzi wake wakwanza, Ipo Hivyo.
Na ni njia gani utatumia kuhakiki kwamba ni bikra kabla hujamoa..... Utamuuliza tu??
 
Back
Top Bottom