Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #41
Mkuu ngono ni kawaida sana skuizi, hamna uhakika wa kupata bikra, hata hivyo sioni umuhimu wake....
Umuhimu wa Bikra upo Mkuu,
Wazee wako wanajua Hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ngono ni kawaida sana skuizi, hamna uhakika wa kupata bikra, hata hivyo sioni umuhimu wake....
Ninachokupendega mtibeli akili yako ipo chap Sana🤫
Nipe maua yangu😁....safi mtanzania na muafrika halisi, mko wachache sana Kwa Sasa .....
😊 umenena vyema Pendaelli na tena ukitaka kumwua mbwa mpe jina baya.Kiti chochote usipo kipa umuhimu hakiwezi kukusumbua.
Na kitu kinacholeta usumbufu kwa wengi usikipe umuhimu.
Ili kuishi maisha marefu mazuri na yenye amani usiyape umuhimu mapenzi na yanayo patikanayo kwayo.
🤣🤣🤣NakuminiaDish langu likikaaga Sawa sinaga tatizo Mimi
Umuhimu gani...Umuhimu wa Bikra upo Mkuu,
Wazee wako wanajua Hilo
Kiti chochote usipo kipa umuhimu hakiwezi kukusumbua.
Na kitu kinacholeta usumbufu kwa wengi usikipe umuhimu.
Ili kuishi maisha marefu mazuri na yenye amani usiyape umuhimu mapenzi na yanayo patikanayo kwayo.
🤣🤣🤣Nakuminia
Umuhimu gani...
Aaah swali gani tena hili?we rekebisha tukale mabirianiSasa tunafanyaje, au ndio tuingia mfukoni kesho kutwa tuzame kwenye majumba ya watu
Wapi kibao iseeeSijawahi ona mwanaume anaelia lia akipata tatzo
Sio kila mwanamke mwaminifu aliolewa akiwa bikra....Bikra ni alama ya usafi na uaminifu Kwa Mwanamke.
Mwanamke Bikra hajajeruhiwa na Wahuni hivyo kiwango chake cha uaminifu Kwa mumewe ni kikubwa tofauti na asiye na Bikra.
Mwanamke akishatendwa na Mwanaume wa Kwanza aliyempenda anabadilika Kwa kiwango kikubwa.
Wanasema maumivu ya Mapenzi ni mara moja tuu.
Bado hujanielewa niendelee?
Sijawahi ona mwanaume anaelia lia akipata tatzo
Sio kila mwanamke mwaminifu aliolewa akiwa bikra....
......wala usijali bibie, hayo hapo💐💐💐🍿.......Nipe maua yangu😁
Taikon kwenye hiyo recipe umesahau ingredient moja ya muhimu sana.
Lisha, tunza familia.Wanaume sasa hilo jukumu wanataka wanawake ndio wawajibike nalo au hata wachangie ni ukweli usiopingika mke au familia hupunguza heshima kwa kichwa cha familia asipotekeleza huo wajibu.
Na ni njia gani utatumia kuhakiki kwamba ni bikra kabla hujamoa..... Utamuuliza tu??Upo sahihi.
Ila elewa kuwa Mwanamke au Mwanaume anaposalitiwa na Kuumizwa na Mpenzi wake wa awali hubadilika Kwa kiwango kikubwa. Na hiyo ndio Sababu unatakiwa utafute Fresh has kama wewe ni kijana Mdogo.
Mwanamke hawezi kuamini Kwa kiwango alichomuamini Mpenzi wake wakwanza, Ipo Hivyo.
nakukubali taikoni, eagerly waitingKesho nitapandisha Uzi hapa Kwa ninayoyaona Huko mashambani na mjini kuhusu Wanawake.
Siku hizi Wanawake wanakula Kwa jasho na hapohapo wanazaa Kwa uchungu. Hiyo ndio itakuwa mada.