Mambo ambayo hutakiwi kuchelewa kwenye maisha kama tayari una mpango wa kufanya jambo husika

Kabisa mkuu naunga mkono hoja, ila kama mpaka umefika 18 haujawahi kunywa pombe ni bora ukaendelea na juice tu , pombe za ukubwani ni fedhea tu🤔
Bora pombe kama hujawahi kugegedada mpaka umefika miaka 20 aisee ukija kuonja hio kitu unakuja kuwa malaya hatari kama mie mzabzab. Bora uendelee na nyeto ya mlenda vugu vugu
 

Hiyo na. 4. Kuna watu walifanya drama mpaka wakasahau kilicho wepeleka shule. Wakaishia kuzunguka "kiplefti" ya Msangu.
 
Nmechelewa kuoa kuna time nawaza au nisitishe mchongo ila nikiwaza uzee bila family nabaki njia panda
 
Bless
 
Number 2 hapo nishachelewa, Sina mke, sina mtoto, na age imeenda
 
Wewe,si Mungu,upange miaka ya watu,kunaanaye,zaliwa akafa kuna anaye fika umuri huo hanakitu akifika 50 anafanikiwa ww ulipitia maisha ya shule hayo mafanikio yako syo ya kustruggle mtu kama Lugumi ndiye anaweza sema kitu juu yamaisha siyo ww baba ko kupeleka shule anauza ugolo leo upo hapo unapangia watu maisha na mafanikio acha upofu
 

Mungu huyo usiyemjua ndiye kaweka nyakati na wakati.
Ndio maana sasa hivi wewe huwezi kwenda kunyonya maziwa ya Mamaako kwa sababu wakati huo ulishapita.

Ungekuwa unamjua huyo Mungu ungejua kuwa kila Jambo Lina Muda wake.
Ingawaje wapo exceptionals ambao ni Wachache.

Huwezi tenga maisha ya kiumbe na wakati
 
Huwa nazingatia maandiko yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…