Mimi nliporeply kuhusu sababu yako ya kwanza ni kwa sababu ya maelezo kuwa vyuma vitasagana si kweli, kwa sababu kama nlivosema apo mwanzo. Besides ukiwa katika mwendo waweza kuchange gear bila ya hata clutch, its just not recommended at all.
Mimi nlikua naendesha pajero manual, diesel engine, hii ndio my first manual car kuanza kuendesha rasmi, nimeendesha kwa muda, nikahamia apo nikawa naendesha avensis manual pia, sasa ivi nipo na automatic mana manual kwa safari fupi ni kuchokeshana miguu tu. Huyo ulomuona ana balance sio dereva wa daladala lakini? kwa sababu kama unashuka kilima, na hutaki kupungukiwa na spidi wala kuongeza basi unaiacha katika gear bila kukanyga clutch, kama unataka kuongeza spidi wakati unashuka kilima, you dont need to press clutch kama ipo katika gear, unaukanyaga tu apo apo, na kama upo free unahitaji kuongeza spidi kwa sababu haukutoshi lakini bila kukanyaga mafuta, basi unakanyaga clutch ili gearbox iwe disconnected ta engine ili ipate kuteremka kwa haraka. Ukweli kwenye kuteremka kilima kubalance acelerator na clutch doesnt make sense, huyo ni mharibifu atakuwa 😀
Naongezea, kwa wale wenye manual cars kwa bahati mbaya breki zimefeli, unatakiwa ufanye change down upate kusimama, usikanyage clutch wakati wa kupiga breki.
Asante mkuu