Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
We endlea tu kuwasuka dada zako hizi kitu za gia 12 gia 16 au gia 8 achia sisi lakin usisahau pia dada zako nawaletea sana mkaa na mchele. Toka mbeya
Mimi nliporeply kuhusu sababu yako ya kwanza ni kwa sababu ya maelezo kuwa vyuma vitasagana si kweli, kwa sababu kama nlivosema apo mwanzo. Besides ukiwa katika mwendo waweza kuchange gear bila ya hata clutch, its just not recommended at all.Mkuu ifahamike kuwa hizi ishu ni kwa ajili ya usalama wa chombo na wakwako binafsi...
BTW sijawahi kukanyaga clutch mwendo wote wa safari eti mguu ukae pale juu ya plate..noo... Hiyo ya kubalance mimi niliona siku moja tu..Also, sijawahi kuendesha gari la manual kwa muda mrefu sana..
Thanks for the challenge.
Endelea kuimba taarab,jitahidi utoe album. La sivyo hapa mjini tutakuoa.
Labda uhame kwa shemeji ako na ndio shida ya kulala sebuleni.wakati ungekua kwenu kolomije ungekua na nyumba kubwa kichizi
Nashukuru kwa kukubali taarifaAhsante kwa taarifa
Ngoja nikufate pm nikutongoze,inaonyesha wewe bado ni bikra.
Mimi nliporeply kuhusu sababu yako ya kwanza ni kwa sababu ya maelezo kuwa vyuma vitasagana si kweli, kwa sababu kama nlivosema apo mwanzo. Besides ukiwa katika mwendo waweza kuchange gear bila ya hata clutch, its just not recommended at all.
Mimi nlikua naendesha pajero manual, diesel engine, hii ndio my first manual car kuanza kuendesha rasmi, nimeendesha kwa muda, nikahamia apo nikawa naendesha avensis manual pia, sasa ivi nipo na automatic mana manual kwa safari fupi ni kuchokeshana miguu tu. Huyo ulomuona ana balance sio dereva wa daladala lakini? kwa sababu kama unashuka kilima, na hutaki kupungukiwa na spidi wala kuongeza basi unaiacha katika gear bila kukanyga clutch, kama unataka kuongeza spidi wakati unashuka kilima, you dont need to press clutch kama ipo katika gear, unaukanyaga tu apo apo, na kama upo free unahitaji kuongeza spidi kwa sababu haukutoshi lakini bila kukanyaga mafuta, basi unakanyaga clutch ili gearbox iwe disconnected ta engine ili ipate kuteremka kwa haraka. Ukweli kwenye kuteremka kilima kubalance acelerator na clutch doesnt make sense, huyo ni mharibifu atakuwa 😀
Naongezea, kwa wale wenye manual cars kwa bahati mbaya breki zimefeli, unatakiwa ufanye change down upate kusimama, usikanyage clutch wakati wa kupiga breki.
Asante mkuu
R470??Chinese trucks ndio zina majanga hayo ila hizi za ulaya siku izi zote ni automatic kiti full upepo AC af booster za kutosha kwnye cabin kwahyo kuchoka si saana kma hzo za kichina viti ka umekalia Stuli no AC humo
R470??
Unaweza kutaja aina ya gari uliyokumbana na hill tatizo? Magari ambayo yako ni kama hujakanyaga clutch haliwaki.na kwenye mteremko hizo Gia haziwezi kufanya gari lizima sababu kilima chenyewe kinalazimisha gari kwenda mwendo mkali,zaidi kinachotokea ni engine kuvuma na kama hautokuwa makini waweza kupata madhara kwenye Gia box na engine. Huwezi kwenda speed 80 ikiwa namba 1&2 hapo unatakiwa kubwa namba 3+ na ikiwa namba 3 bado engine itavuma vilevile na unachotakiwa ni kutumia break kupunguza mwendo ili visaidiane na Gia iliyopo. Gia zinatumika kuongeza mwendo na kupunguza mwendo kulingana na tukio husika na pia kulingana na ujuzi Wa derevaPia kuna kitu kinanitatiza kwanini baadhi ya gari (sijajua kama zote au lah) kama unashuka katika kilima alafu haunyakanyaga clutch na gari ipo namba 1 au 2 nini inasababisha ivume sana wakati inashuka?
We ni muuwaji was magari ya watu.We mtoa post inaonekana ujawaienesha gari umbali mrefu pia umeendesha hizi gari auto hyo Namba (1 ) gari kama Faw na Howo au lori za kichina n pasua kichwa mda wote mkono upo kwenye gear Lever ahaaaaaa ahaa hyo namba (5) baba angu hzo gari nimetaja kuna gia inabid tu uskizie RPM unakanyagia tu bila clutch ukisema utie gia zote 12 ndugu yangu mguu 1 utakua ka Mua mwingine ka mgomba ingawa walioeleza yote ndo utaratibu ila kiukweli kuna mambo inabidi uachane nayo safari ufike. Imargin safari ya 2000+ KMs
We ni muuwaji was magari ya watu.
Ahsante MkuuUnaweza kutaja aina ya gari uliyokumbana na hill tatizo? Magari ambayo yako ni kama hujakanyaga clutch haliwaki.na kwenye mteremko hizo Gia haziwezi kufanya gari lizima sababu kilima chenyewe kinalazimisha gari kwenda mwendo mkali,zaidi kinachotokea ni engine kuvuma na kama hautokuwa makini waweza kupata madhara kwenye Gia box na engine. Huwezi kwenda speed 80 ikiwa namba 1&2 hapo unatakiwa kubwa namba 3+ na ikiwa namba 3 bado engine itavuma vilevile na unachotakiwa ni kutumia break kupunguza mwendo ili visaidiane na Gia iliyopo. Gia zinatumika kuongeza mwendo na kupunguza mwendo kulingana na tukio husika na pia kulingana na ujuzi Wa dereva
Nilijifunzia gari ya manual lakini toka nilipoanza kuendesha gari mpaka leo naendesha autlomatic,zaidi ya miaka 10 sijaendesha gari ya manual,sijui kama nikikutana nalo ntakumbuka,halafu pia huwa naona kama mzigo flani kuendesha manual!!
Ni hiyo siku nikipata kazi ila kwa sasa kwangu ni mzigo.Sasa kwa mfano ukapata kazi, ukapewa gari la manual itakuwaje??