Mambo ambayo Mungu hayapendi lakini Waislamu na Wakristu wamefichwa

Haya mambo bwana....tuyaache tu.... Mungu yupo nani wetu sote.....
Ulicho andika ni vise versa.....shetani ndie mwovu na mpinzani......
Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu. Kama watu wengi wanasema ndoa ni miyeyusho basi rejea kwenye sentensi hapo juu" sauti ya wengi sauti ya Mungu"
 
Kabla sija enda kwenye nada na noulize hivi wewe ambae unawaachiaga siti wazee kwenye daladala tangu uanze kufanya hivyo ni mambo mangapi ambayo umeshafanyiwa wepesi kwenye maisha yako?
Samia anatafuta watu kama wewe.
 
Noted Mkuu
 
Hio namba nne ilinifarakanisha saana na mungu
 
Kwanza kabisa, unajuaje Mungu yupo kweli na kwamba habari za kuwapo kwake si hadithi za mapokeo tu?
 
Nakupa dakika tano futa hii taka taka y'ako or else naku ignore.
Kawa ignore wazazi wako na babu yako shetani shetani nkubwa. Who cares kama utanignore.Same on you na kumbaff kabisa
 
Tuanzie hapa kwanza je Unajua kumtofautisha Mungu na shetani?
 
We jamaa unakufuru sanaa nahisi pia akili yko imeashaachana na mwili wako kwaio hujui hta ulitendalo
 
Mkuu kuna kitu hakiko sawa juu yako hii ni sawa na wale wanaomkashifu Mwenyezi Mungu.Kamwe usifanye hivi unaweza patwa na kitu kibaya.Soma habari za watu waliomkashifu Mungu na kilichowakuta.
 
Dini ni ibada na hakuna ibada nyepesi kuna ushetani ndani yake kwani yeye ndio anaekinzana na Mungu kupitia wanaadamu sisi sisi
 
Dini ni ibada na hakuna ibada nyepesi kuna ushetani ndani yake kwani yeye ndio anaekinzana na Mungu kupitia wanaadamu sisi sisi
Hakuna kiumbe anae weza kushindana na mipango ya Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…