Mambo ambayo Mungu hayapendi lakini Waislamu na Wakristu wamefichwa

Mambo ambayo Mungu hayapendi lakini Waislamu na Wakristu wamefichwa

Tuanzie hapa kwanza je Unajua kumtofautisha Mungu na shetani?
Mungu ndio kaumba uovu lait mungu asingeumba maovu basi ujue uovu usingekuwepo kama mungu anajua kila kitu kwanini aliumbauovu halafu anataka watu wawe wema kwa maneno rahisi mungu ndio Shetani mwenyewe
 
Kwenu mna asili ya uendawazimu sio bure!
hata ulichoandika ni ujinga mtupu na uhayawani!
Bora ungekaa kimya kuficha upumbavu wako!
Naku ignore. Umeonyesha ujinga wa.hali ya juu.
 
Nimeweka hoja inatakiwa ajadili hoja yeye ana leta mihemko Mkuu. Mwaka MPYA na mambo mapya
Ukianzisha thread usipangie watu cha kucomment, hata wewe ulichoandika hukupangiwa na mtu.
 
Kijana kataa ndoa ndoa ni mpango wa shetani kumfunga mwanaume.
 
You can now the artist by studing his art. Nimejua Mungu kwa kuistudy sanaa ya uumbaji wake
Unajuaje kimeumbwa na Mungu na hakijatokea kwa namna yoyote nyingine?
 
Unajuaje kimeumbwa na Mungu na hakijatokea kwa namna yoyote nyingine?

Kwa sababu ya constancy na complexity katika mfumo wake plus uniformity.
Mfano kwa jinsi mfumo wa mwili wa mwanadamu ulivyo, hawezi kuwa ametokea tu from nowhere lazima yupo mwenye maarifa zaidi ambae ame tengeneza huo mfumo...

Constancy; Mfano tangu kuumbwa kwa ulimwengu jua linatoka mashariki linazama magharibi, haijawahi kubadilika.

Uniformity: Ukichukua mfomu wa moyo wa mtanzania ni the same na mchina, mzungu, muhindi n.k.

Mwanaume unapo ejaculate utamu unao upata ni SAWA KWA wanaume wote Dunia nzima.

Hizo zote zina detect kwamba mwanadamu na vitu vyote vilivyomo ulimwenguni vimekuwa designed na mwenye UWEZO wa kuvidesign KWA namna hiyo
 
Unaelewa kwamba ikiwa complexity ni lazima iwe imeumbw ana intelligence kubwa zaidi, hata Mungu wako naye atahitaji kuumbwa (kwa sababu naye ni complex) na Mungu wake naye atahitaji kuumbwa, katika chain ambayo haina mwisho.

Na hapo hakuna Mungu muumba yote?

Kimsingi, hoja ya complexity inaonesha Mungu muumba vyote hawezekani kuwepo.

Unaelewa hilo?
 
Lini Mungu amekuambia hayo yote unaweza kuweka ushahidi ?
 
Unaelewa kwamba ikiwa complexity ni lazima iwe imeumbw ana intelligence kubwa zaidi, hata Mungu wako naye atahitaji kuumbwa (kwa sababu naye ni complex) na Mungu wake naye atahitaji kuumbwa, katika chain ambayo haina mwisho.

Na hapo hakuna Mungu muumba yote?

Kimsingi, hoja ya complexity inaonesha Mungu muumba vyote hawezekani kuwepo.

Unaelewa hilo?
Msome Plato kwenye Metaphysics amezungumzia vizuri hii. God is unmovable mover. He get things moved but he cannot be moved cause he is unmovable
 
Msome Plato kwenye Metaphysics amezungumzia vizuri hii. God is unmovable mover. He get things moved but he cannot be moved cause he is unmovable
Unajuaje God ni unovable mover kweli, na hii si hadithi uliyopigiwa tu ukaikubali?

Unahakikishaje hilo ni kweli na si hadithi tu?
 
Kabla sija enda kwenye mada nauliza hivi wewe ambae unawaachiaga siti wazee kwenye daladala tangu uanze kufanya hivyo ni mambo mangapi ambayo umeshafanyiwa wepesi kwenye maisha yako?

Tafakari! Chukua hatua! HAKI ELIMU.

Back to the point.

Yapo mambo ambayo kiuhalisia Mungu hayapendi ila wakristu na waislamu wamefichwa (nimewataja wakristu na waislamu kwa sababu hawa ndio wanaamini dini/imani zao ndio za ukweli kwamba wao ndio wanamjua sana Mungu kuliko watu wengine).

Jambo zuri (linalotoka kwa Mungu) huwa linatazamwa kwenye matokeo (results) na siyo vinginevyo.

Kama unafanya jambo lolote lile hata kama unaamini limeagizwa na Mungu lakini likawa linaleta matokeo hasi basi tafsiri yake ni kwamba Mwenyezi Mungu hapendezwi na jambo hilo.

Kwenye uzi huu nitataja baadhi ya mambo ambayo Mungu hayapendi lakini wakristu na waislamu wanadhan kwamba Mungu anayapenda.

Haya twende kazi;

1. Mungu hapendi nini? Mungu hapendi baba anae taka watoto wake wajifunze kuhusu neno lake( Bible/Qur'aan). Ndio maana baba anawapeleka watoto wake madrassa au Sunday school/mafundi kwa wakatoliki, mwisho wa siku watoto wanaishia kulawitiwa na kunajisiwa na mwalimu wa madrasa au katekista/Mchungaji. Tafsiri yake ni kwamba Mungu hapendi uwapeleke watoto wako madrassa au Sunday school.

2. Mungu hapendi nini? Mungu hapendi kijana wa kiume anae enda kwa heshima ukweni kumchumbia binti ili amuoe. Ndio maana ukienda kuchumbia KWANZA unaonekana fala.halafu pili unawekewa vikwazo ambavyo havina kichwa wala.

Miguu na usumbufu wa kutosha plus kurogwa juu. But kijana huyo huyo akiwa anakula demu huyo huyo kimasihara mambo huwa fresh kabisa na demu huyo anapo pata ujauzito na kujifungua wazazi humtaka binti huyo aende kuishi kwa baba wa mtoto bure kabisa bila mahari yoyote na vitu vya kuanzia maisha juu.

3. Mungu hapendi nini? Mungu hapendi wanadamu waingie katika ndoa. Ndio maana asilimia kubwa ya ndoa ni matatizo matupu. Talaka ni nyingi kupita maelezo na walioko ndani ya ndoa wanatamani kutoka.

4. Mungu hapendi nini? Mungu hapendi mwanaume ambae anampenda sana mkewe anamjali sana mkewe na watoto na anajitoa sana kutunza familia.

Ndio maana wanaume wa hivyo huwa wanaishia kuwa disappointed na wake zao. Mke hucheat, mke huwafundisha watoto kumchukia baba yao/ watoto huharibikiwa, mume kutangulizwa ili mke abaki na mali n.k.

6. Mungu hapendi nini? Mungu hapendi mtu anae sema ukweli ndio maana msema.ukweli huchukiwa na watu na mara nyingi huuliwa KWA sababu ya kusema na kusimamia ukweli.

7. Mungu hapendi nini? Mungu hapendi mtu anae swali mara tano au anaesali sana (mkristu), ndio maana wanao swali mara tano au wanao sali sana ( walokole) kila.siku wanalalamika kusumbuliwa na matatizo ya kiroho kama vile uchawi, majini, vifungo vya kichawi n.k.

Mifano ni mingi sana.

Suluhisho: Just enjoy ur life
Muwe mnakumbuka kutoa mbegu kabla ya kupuliza jaman
 
Back
Top Bottom