Mambo ambayo Mungu hayapendi lakini Waislamu na Wakristu wamefichwa

Mkuu kuna kitu hakiko sawa juu yako hii ni sawa na wale wanaomkashifu Mwenyezi Mungu.Kamwe usifanye hivi unaweza patwa na kitu kibaya.Soma habari za watu waliomkashifu Mungu na kilichowakut
 
Mkuu kuna kitu hakiko sawa juu yako hii ni sawa na wale wanaomkashifu Mwenyezi Mungu.Kamwe usifanye hivi unaweza patwa na kitu kibaya.Soma habari za watu waliomkashifu Mungu na kilichowakuta.


Wewe ndio unamkashifu Mungu hapo unacho kisema ni KWAMBA ni sawa na mwanadamu ambae maamuzi yake huweza kuwa controlled na matendo ya mwanadamu. Tubu
 
We jamaa unakufuru sanaa nahisi pia akili yko imeashaachana na mwili wako kwaio hujui hta ulitendalo

Shindana na hoja SIO mtoa hoja.
 
Kwanza kabisa, unajuaje Mungu yupo kweli na kwamba habari za kuwapo kwake si hadithi za mapokeo tu?
You can now the artist by studing his art. Nimejua Mungu kwa kuistudy sanaa ya uumbaji wake
 
Ni uhuru wa kutoa maoni, ni haki yako.Nmecheka sana [emoji23].

Em tupe simple analysis uliyofany kujua hili, mfano idadi ya ndoa zinazofungwa kila siku na zinazovunjika kila siku.
 
Ni uhuru wa kutoa maoni, ni haki yako.Nmecheka sana [emoji23].

Em tupe simple analysis uliyofany kujua hili, mfano idadi ya ndoa zinazofungwa kila siku na zinazovunjika kila siku.
Uliza Bakwata, mahakamani na kanisani
 
Hii habari ina kuhusu wewe sio wanae muabudu M/Mungu
 
Kuna miungu mingi. Mungu unayemzungumzia hapa, atakuwa mungu wa kuzimu, mtengezee na bible yake, mana wewe ni mtume wake kama hujitambui tambua.
 
Wewe ni ndugu au mtoto wa shetani mwenyewe siyo? Nadhani huna unachotafuta hapa zaidi ya kiki mwanangu. Ulaaniwe milele na milele
Mtoa maada yupo sawa unatakiwa utafakari vinginevyo kumtishia tu laana wakati kiuhalisia laana ni ukombozi hata yesu alipewa laana ya taurati ili awakomboe watu kwani imeandikwa amelaaniwa kila atundikwaye juu ya mti na mzoga wake usikae juu ya mti siku tatu na akafa na ukamzika siku hiyo hiyo kwani huyo amelaaniwa na mungu
 
Kuna baadh ya watu n evidence ya kutosha kuwa shetani yupo. among those ni mleta mada.
 
Mnapenda kumdhihaki Mungu wewe moto wako utakuwa mkali naona kabisa
 
Kabla sija enda kwenye mada nauliza hivi wewe ambae unawaachiaga siti wazee kwenye daladala tangu uanze kufanya hivyo ni mambo mangapi ambayo umeshafanyiwa wepesi kwenye maisha yako?
Kwenu mna asili ya uendawazimu sio bure!
hata ulichoandika ni ujinga mtupu na uhayawani!
Bora ungekaa kimya kuficha upumbavu wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…