Mambo ambayo Mungu hayapendi lakini Waislamu na Wakristu wamefichwa

Ndoa umekosea sana kwamba hapendi .

Mungu anapenda watu wafunge ndoa ili wasiaidiane katika Maisha baina ya watu kwa ukaribu kwa katika kutafuta chakula na hata kipind cha maradhi (homa kali) pangine kipindi cha uzeee.

Mungu anapenda wato waoane ili kupunguza zinaa ambayo matokeo yake Mungu hapendi ndo maana unaona magonjwa ya ovyo kama UTI kila kona ,HIV ,Gono.

Kwa nn unasema matokeo ya ndoa ni mabaya mmeacha kufuata sheria za ndoa kama yalivyo mafundisho ya dini kwa wanaomini ila sasa mnahalalisha uzinzi ushazlishana uko ndo mnakuja funga ndoa mbeleni..Fauta sheria za dini oa kwa kufauta nasaba ya mtu, dini yake ,uzuri wake na Mali yake...Sasa mnajifanya Kuna globalization mnachanganyikana ndo maana mabalaa.

Uzinzi kabla ya ndoa ndo chanzo instead ya kumchunguza mtu vizuri ila unanogewa na sex au bahati umempa mimba unajikuta unamuoa japo uliona ana signs mbaya kweny tabia zake.
 
Kama unaamini uliyosema ni kweli, na ya kwamba wewe ni mkweli, basi wewe pia mungu hakupendi kwa mujibu wa na. 6.
Sasa subiri na wewe uliwe kichwa.
 
Kama unaamini uliyosema ni kweli, na ya kwamba wewe ni mkweli, basi wewe pia mungu hakupendi kwa mujibu wa na. 6.
Sasa subiri na wewe uliwe kichwa.
Mkuu umeniweza . Ur the true meaning of Jf the home of the great thinkers. Hii Ndio tunaita constructive criticism. Big up mkuu
 
Jua kutofautisha Kati ya Dhambi na maagizo/Sheria za Mungu
Mungu sio kwamba hapendi watoto wasiende Sunday school

Wewe umetaja tu impact moja tu yakwamba labda wata lawitiwa

Kwanza sababu yako inatokea malachache Sana na.inaweza isitokee kabisa

Kwa mfano mm walimuwang wa Sunday School wote wa kike pia cjawai kuwaona wa kiume (kwaupa de wangu)

Angalia Sasa miongoni mwa faida za kwenda Sunday School
1.kufundishwa mambo mbalimbali mfano "watoto msipigane,msitukane,msiibe,mpendane,waheshomuni wakubwa zenu"

Kwamambo hayo tu machache je
Mungu hayapend???

Nikuulize swalii na ww

1.Je Mungu hapendi watoto wasiende shule kwa sababu watalawitiwa nauko shule?

2.Je Mungu hapendi watu wazaliwe kwasababu wakija kupata ufahamu Watamtukana na kumpinga?

Jibu nadhani unalo

Maana yangu ni kwamba Mungu sio kwamba Mungu hapendi watu waoane au watoto wasiende Sunday school

ILA

Mungu hapendi Dhambi yoyote ile

Maana kamaingekuwa unavyosema ww watu tusinge zaliwa

Nafikiri nimeeleweka
 
Namba 6 inamhusu Lissu moja kwa moja,halafu kwa nini namba 5 umeruka? Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…