Mambo ambayo mwanaume wa thamani hatakiwi kuyafanya kamwe

Nimesoma zote namba 1-22 naona zote ex wangu hatoboi hata moja aiseee.!! 🤣🤣🤣🤣
 
Ukiona mwanaume unaanza kuishi na visheria Sheria ujue na wewe sio mwanaume....mwanaume unatunga Sheria papo kwa hapo
 
Uzi uishie hapa, mwanaume hajengwi kwa visheria vya mtu, mwanaume ni ile spirit ya kiume ambayo basically tunaumbwa nayo. Wewe mwenyewe unajijua mimi mwanaume na unajiwekea misingi yako binafsi.
 
Mwanaume kusema` we kuweza` haitakiwi kabsa
 
Dunia sio ngumu kiasi hicho.
 
Nimesoma zote namba 1-22 naona zote ex wangu hatoboi hata moja aiseee.!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwangu jambo kubwa ambalo mwanaume wa thamani hatakiwi kufanya ni KUJIFANYA MWANAMKE.

Kama kula milo mitatu hakukupelekei kujifanya mwanamke hakuna shida ya kula milo mi3.

18.kama kumlilia shida mwanamke hakunifanyi nijifanye mwanamke basi sio tatizo kwenda kulia shida kwa mwanamke maadamu kulia huko hakuniondolei uanaume wangu.
 
Wengine tangu tumezaliwa tumekuta baba,babu zetu wanakula ngano na Milo mi3 mpka zaidi,for the record babu yangu alikua na WA awake 4,na watoto 32 akila hizo hizo ngano
 
WAnawake mnahangaika sana na kuwapangia wanaume uanaume. Tafuteni kazi mabinti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…